OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nakaonea huruma kataanza kula machine bado kadogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima iwe hivyoYupo sahihi kabisa.
Sema wapo Exceptional
Hata mtoto wa kiume akisha balee tu na kupata girl friend wake,basi hata kwao anapasahau kabisa, yeye na girl wake tu,na anaweza iba hata pesa home ili mradi akamuhonge mtu wake!!Na Mimi nalijua hilo mkuu ndio maana hata siwashangai wanao pingana na bandiko langu
Huu ndio ukweli,tuupokeeni.Akisha vunja ungo she will become a stranger to you.
Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku mara north pole mara South Pole.
Nakwambia hivi kwa sababu Nina experience ya kuwa baba kijana mwenye mtoto wa kike.
I am 16 years older than my first daughter. She is more of my younger sister than my daughter.
Mimi mwenyewe mwanzoni when she was still a young girl nilikuwaga muhanga wa tatizo la kisaikolojia linalo wasumbua wanaume wengi walio pata watoto wa kike kwa mara ya kwanza na ambao bado hawaja vunja ungo ambalo linaitwa " a proud daddy"
Kwa bahati mbaya au nzuri, tatizo hilo hata wewe mdogo wangu Shetta uko nalo.
Ni hivi, mwanaume mwenye tatizo hili la kisaikolojia, pamoja na mambo mengine, huwaga ana amini kwamba :👇
1. Binti yangu ni innocent.
2. She is a virgin and very smart.
3. Anaogopa wanaume kwa sababu anajua wanaume ni waharibifu ( 🤣🤣🤣 wazo la kitoto kweli)
4. She will remain a virgin until she becomes of full age ( Ataanza kuwa na boy friend atakapo fika chuo kikuu huko ambako tayari amesha kuwa mtu mzima.
Wakati wewe unawaza kwamba binti yako ataanza kudili na wanaume atapo fika chuo kumbe mwenzako kaanza tangu usiku wa manane.
Binti akianza kudili na wanaume akiwa bado mdogo anakuwa ana defy the 1st Newton's Law of Motion which is to the effect that " A body at motion will remain at its motion unless it acted upon by an outside force"
Jambo hili litakuwa kinyume na matarajio ya mgonjwa wa " a proud daddy syndrome "
Huyu mwanaume au wanaume au mapenzi na mahusiano kwa ujumla kwenye maisha ya binti yako yata act kama outside force which will push your daughter away from her orbit to her destiny.
Badala ya safari kwenda :
Nursery 👉 Primary 👉Seco👉 high school 👉 University 👉 then starting her life.
Something else can happen in between na safari kuwa like👇
Nursery 👉 Primary 👉Seco👉 becoming a mother to child whose father is unknown 👉 ( U can mention it)
Mi mwenyewe niliwahi kuwa muhanga wa tatizo hilo la kisaikolojia.
I was fronting like a very proud daddy. Mapicha picha kibao . My daughter this my daughter that..Treating her like a queen, kumsomesha kwenye shule za gharama na kufanya kila kitu ndani ya uwezo wangu kuhakikisha she reaches her dream.
But when she entered puberty age ndio nikajua what is the difference between over all and all over.
Mtoto wa kike akisha anza kuwa na boy friend she sacrifices the part of you in her heart and put her boy friend in the stead.
You become a surplus. Cause she has already replaced your authority with that of her boy friend
Anaanza kumsikiliza na kumtii zaidi boy friend wake kuliko wewe..
Wewe ukisema aende akakae boarding kiboy chake kikimwambia asome day the word of her boy friend will prevail over yours.
Kama shule unayo taka kumtoa ni mbaya mtoto amefeli hajafeli?
Mi mwenyewe utotoni videmu vyangu vilikuwaga vinatii amri zangu kuliko baba zao..
Kuna mmoja siku moja nimemwambia aje gheto saa 4 asubuhi akaja saa 5.
Me : mbona umechelewa hivyo kuja?
Yeye : baba leo alinituma.
Me : unamaanisha nini barbra? Are you serious? Ina maana kati ya Mimi na baba ako nani zaidi?
Yeye : baby me naona wote mpo sawa tu.
Mimi ( kwa sauti ya ukali) : unasemaje wewe ????
Yeye ( kwa sauti ya chini na ya kuomba msahama) ;
Basi mpenzi wewe ndo zaidi.
Mimi : Eboo!!!
Ndio maana zamani mtoto wa kike akisha vunja ungo tu anaozeshwa.
Hata hivyo mtoto huyu wa kike alie asi mamlaka ya baba ake nyumbani huwaga anajirudi akiwa na around miaka 20 hadi 25 hivi wakati huo tayari:👇
1. Ameisha jua dunia tayari.
2. Ameshakuwa single mother.
3. Amepigwa matukio kwenye mahusiano.
4. Classmates wake wa secondary wamemaliza chuo wana kazi zao na maisha yao tayari.
5. Ambao hawakubatika kwenda chuo lakini hawakuwa asi baba zao wapo kwenye ndoa zao wana biashara na shughuli zao.
Bahati mbaya ni kwamba binti huyu anajirudi kwa baba ake katika kipindi ambacho baba ake tayari amesha move on. Ameshakubaliana na matokeo .Ameshakubali ukweli mchungu kwamba watoto wote wa kike wapo hivyo. ( mtu kama p.funky ameshakubali matokeo kwa Paula muda mrefu sana )
And he has nothing to do with her. ( not p.funky am talking about the father who has already move on )
Binti anarudi home anamwambia baba nataka kwenda kusoma QT.
Baba anakuwa hana tena interest with her daughters education. Huu ushirikiano ambao binti anauonyesha now alipaswa kukuonyesha at the right time when she was 15 or something sio tayari amesha kuwa lishangazi.
SULUHISHO.
1. NEVER BE A PROUD DADDY TO YOUR DAUGHTER CAUSE AT THE END OF THE DAY YOU WILL BE DIS APPOINTED BIG TIME.
2. ISHI NA UKWELI HUU:
Huwezi kumzuia mtoto wako wa kike asigongwe. Ila unaweza Kumchelewesha. Badala ya kuanza kugongwa akiwa na miaka 12 basi at least aanze akiwa na 15 au zaidi.
Ukweli umewauma, wengi wameishia kukutukana tu..
Mtoto wa kike akiwa na boyfriend ni jau sana, mambo mengi huanza kuharibika hapo.
Na omba awe na boyfriend lika lake ambae maybe wanasoma wote au wako level moja.
Usiombe chalii ya kitaa ndo iwe inamsugua, dadeki hachukui round kuzingua.
Kwa hiyo mkuu una maana kwamba Jokate alivyogonga nyundo 25 ndio akajirudi km alivyosema Likud hapo?Kamuweka kwenye siasa awe kama Kuna joketi ,,hajui kina joketi walianza Kwanza kupigwa paipu na wahuni mataani ,mond ,kiba mpaka akarudi Kwa mwenyezi Mungu ndio akafika pale alipo ....
Najua shetta anataamin Yule mtoto awe kwenye malezi mazuri ,aje kuwa kiongozi WA kuigwa nchi hii ....lakin Nampa taarifa kuwa apunguze matarajio kabisa [emoji23].....
Akijibu usisahau kunitag mkuuOnyesha uchawi kwenye bandiko langu
hatari aliyo nayo zaidi huyu mtoto ni kupata umaarufu mapema.
miaka 4 ijayo atakuwa kwenye vita kali sana na mafisi(rejeeni ya lulu)kisha watoto wenzie ambao ndio mletamada amewarenga zaidi.
maumivu na jeraha analopata baba kwa binti yake,sababu ni wivu wa asili kutokana na mapenzi aliyo nayo kwa binti yake,ni kama usaliti ndani ya mipango yake lakin bila kujua kuna hitaji ambalo yeye kama baba asingeweza kulitimiza hata iweje(kipngere cha mahusiani).
lucky dube ameimba-good girl.
Yeah,Aisee!
Malezi hayana formula, usifananishe binti yako na binti zetu!!
Wewe unaweza kuruhusu binti yako wa form 2 awe na boy friend?Mtoto kuwa rebellious wakati wa balehe ama foolish age ni kitu cha kawaida sana na uliyoyaongea yote ni uhalisia mtupu Ila si kila binti anapitia phases ulizozitaja kwa sababu balehe humjia kila mtu kwa namna yakr..
Personally, hadi nilipofikia kuna mabinti nimewaona wapo focused na sio wazinguaji kabisaa na hata kama wapo submissive kwa boyfriends wao lakini bado wanabaki daddy's girls.
Shetta anachokifanya kwa binti yake ni kumjengea misingi anayoiamini binti yake, akiifuata au akaiacha na kuanguka. At least hatokuwa na deni nae kuliko kumuacha tu wakati ana position ya kufanya kitu flani