Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Sahihi
 
Muhimu ni kuplay part yako then kusubiri matokeo. Akizembea hutokuwa na lawama muhimu umempa kila linalostahili kwa mustakabali wa maisha yake.
 
I have no idea but itakuwa ndio yeye coz ana binti mmoja mkubwa
Aombe Mungu tu kwa kweli! Ila kwa sehemu kubwa watoto wa kike wakiwa exposed wanakuwa kwenye hatari kubwa sana ya kuharibika!
Hasa inapotokea anaambatana na watu wabaya wenye tabaia ovu ya kutembea na mabinti wadogo!
 
Kwa nini watu mnalichukulia hili kwa side moja,

foolish age inazuzua watu wengi sana na kila mtu katika hiyo point kuna kitu alikifanya na anakijutia lakini mwisho wa siku ndio ukuaji na zaidi unamshukuru Mungu hukupotea moja kwa moja.

Mfano Kwa point zako. Kwa hiyo wazazi wasitengeneza path flani kwa watoto wao kwa kuogopa foolish age ??....

Nani ambaye hajaipitia
 
Wewe unaweza kuruhusu binti yako wa form 2 awe na boy friend?
Kuna ambaye anaruhusu au anafurahia ??..

Lakini mfano wewe ulivyozaa una age ya 16 je, wazazi wa binti uliyezaa nae walibariki mahusiano yenu na kama hawakubariki je, ilizuia wewe kuendelea kutoka nae

So, ni nini kinakufanya kuona kuwa foolish age au vijana wanaobalehe kuwa jeuri na wasiosikia kama ni kitu flani cha kushangaza sana ilhali wewe ulikipitia

Mkuu, pale unapoona ni sawa mtoto wako wa kiume kukichafua street bhasi jua na wako lazma achafuliwe kwa sababu wazazi wenzio wenye watoto wa kiume wataichukulia kawaida pia

Kama unaona ni sawa kwa mtoto wa kike kuwa extremely sexualized kiasi cha wewe kuwa perfectly negative kutokana na experience zako. Ni Nani atabadili hii situation na kama haibadiliki

Je, Wazazi kama sheta wasiwekeze kwa watoto wao wa kike kwa sababu tu ya negative impact ya foolish age
 
ukisoma kwa umakini,ni kwamba tunamuandaa sheta na wengine walio kama yeye kwa yajayo kama yatalazimu kumfika.

sio kumkataza kufanya alicho fanya.

hata anayepanda mpunga kwa umakini mkubwa lazima akumbushwe kuna ndege waharibifu,mafuriko kufukia mpunga,magonjwa nk.
 
Mkuu kila mtu anapoenda shule anajua kuna kufaulu na kufeli lakini anajiandaa vyema ili apate kufaulu

Kila mtu anaeenda shambani, anajua kuna kupata na kukosa ili aandae mazingira mazuri ya kupata

Hivyo, kiuhalisia matokea ni jambo hatuna control nalo Ila tunaweza control na kuwekeza kwenye mchakato mzima ili itupatie matokeo tunayoyatarajia

Unachokifanya ni sawa "kuwaandaa" Lakini kuonesha kuwa mpo sure ya kile kibaya kitakachomfika si sawa

Hakuna aiye sure Ila Mungu pekee
 
Well, tutakuja kusikia tuu... Kama ningekuwa shetta, siwezi kumuweka mtoto wangu azungukwe na watu wa ovyo ovyo, most ya hawa tunaowaita viongozi are insane
 
Mimi Nina watoto wakike wazuri balaa nitaishi Huu uzi still bado najifunza
One example the way jesca alivyomhuzunisha mshua mpka kwenda certificate ya education pale u-dom
Dah mungu atuongoze but my daughters ni wazuri balaa [emoji56]

Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
 
Duh mkuu you're projecting your fears and failure (maybe) as a father onto other people,Kama binti yako amekudissappoint mahali sio mabinti wote wanakua hivyo, Kuna mabinti wengi tu ni wasikivu wakiambiwa jambo wanasikiliza,wanaheshimu wazazi wao, wanajitambua na wanajua kujisimamia,usimtabirie mabaya huyo binti wa shetta.Achana na hiyo negative mentality.Mimi binafsi naweza kusema mahusiano mazuri na mzee wangu yamenifanya niwe grounded zaidi Kuna vitu siwezi kufanya kwasababu tu najua yataharibu mahusiano yangu na mzee wangu na yatamuumiza Sana .Pole Kama binti yako alikuangusha hakuna mwalimu wa malezi.
 
hiyo ni fallacy of generalization.Kisa binti yako alikuwa malaya kakudissapoint unaconclude kwa mabinti wote.
 
Nilikasikiliza kwenye EA Radio jana hako kasichana kanabwabwaja upupu wa MaCCM kwa kujiamini kwa saana. Nikajisemea something is not right siyo kwa arrogance hiyo kumbe hata hakajavunja ungo! Nikaamua kubadilisha channel bado kanapiga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…