Wakati huo Kaole, ukiwatazama Lulu na Kanumba ungeweza sema ni mtu na baba yake lakini kilichotokea!!
Sasa ufuska ulokua kwenye siasa, kwingine kote wakasome, huko kuna fisi hawapatikani sehemu nyingine yoyote duniani.
Kama anaweza angempeleka tu kusoma Ulaya ambako sheria zipo tight, hata akifanya mahusiano itakua na watoto wenzie sio na watu kama kina Kishimba au Msukuma.
Akishakua na akili ya kujitegemea atajiingiza mwenyewe kwenye siasa kama atahitaji.
Sent from my SM-A135F using
JamiiForums mobile app