Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Akisha vunja ungo she will become a stranger to you.

Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku mara north pole mara South Pole.


Nakwambia hivi kwa sababu Nina experience ya kuwa baba kijana mwenye mtoto wa kike.


I am 16 years older than my first daughter. She is more of my younger sister than my daughter.

Mimi mwenyewe mwanzoni when she was still a young girl nilikuwaga muhanga wa tatizo la kisaikolojia linalo wasumbua wanaume wengi walio pata watoto wa kike kwa mara ya kwanza na ambao bado hawaja vunja ungo ambalo linaitwa " a proud daddy"

Kwa bahati mbaya au nzuri, tatizo hilo hata wewe mdogo wangu Shetta uko nalo.


Ni hivi, mwanaume mwenye tatizo hili la kisaikolojia, pamoja na mambo mengine, huwaga ana amini kwamba :👇

1. Binti yangu ni innocent.

2. She is a virgin and very smart.

3. Anaogopa wanaume kwa sababu anajua wanaume ni waharibifu ( 🤣🤣🤣 wazo la kitoto kweli)

4. She will remain a virgin until she becomes of full age ( Ataanza kuwa na boy friend atakapo fika chuo kikuu huko ambako tayari amesha kuwa mtu mzima.

Wakati wewe unawaza kwamba binti yako ataanza kudili na wanaume atapo fika chuo kumbe mwenzako kaanza tangu usiku wa manane.

Binti akianza kudili na wanaume akiwa bado mdogo anakuwa ana defy the 1st Newton's Law of Motion which is to the effect that " A body at motion will remain at its motion unless it acted upon by an outside force"

Jambo hili litakuwa kinyume na matarajio ya mgonjwa wa " a proud daddy syndrome "

Huyu mwanaume au wanaume au mapenzi na mahusiano kwa ujumla kwenye maisha ya binti yako yata act kama outside force which will push your daughter away from her orbit to her destiny.

Badala ya safari kwenda :
Nursery 👉 Primary 👉Seco👉 high school 👉 University 👉 then starting her life.

Something else can happen in between na safari kuwa like👇

Nursery 👉 Primary 👉Seco👉 becoming a mother to child whose father is unknown 👉 ( U can mention it)

Mi mwenyewe niliwahi kuwa muhanga wa tatizo hilo la kisaikolojia.

I was fronting like a very proud daddy. Mapicha picha kibao . My daughter this my daughter that..Treating her like a queen, kumsomesha kwenye shule za gharama na kufanya kila kitu ndani ya uwezo wangu kuhakikisha she reaches her dream.

But when she entered puberty age ndio nikajua what is the difference between over all and all over.

Mtoto wa kike akisha anza kuwa na boy friend she sacrifices the part of you in her heart and put her boy friend in the stead.

You become a surplus. Cause she has already replaced your authority with that of her boy friend

Anaanza kumsikiliza na kumtii zaidi boy friend wake kuliko wewe..

Wewe ukisema aende akakae boarding kiboy chake kikimwambia asome day the word of her boy friend will prevail over yours.

Kama shule unayo taka kumtoa ni mbaya mtoto amefeli hajafeli?



Mi mwenyewe utotoni videmu vyangu vilikuwaga vinatii amri zangu kuliko baba zao..


Kuna mmoja siku moja nimemwambia aje gheto saa 4 asubuhi akaja saa 5.

Me : mbona umechelewa hivyo kuja?
Yeye : baba leo alinituma.

Me : unamaanisha nini barbra? Are you serious? Ina maana kati ya Mimi na baba ako nani zaidi?

Yeye : baby me naona wote mpo sawa tu.

Mimi ( kwa sauti ya ukali) : unasemaje wewe ????

Yeye ( kwa sauti ya chini na ya kuomba msahama) ;

Basi mpenzi wewe ndo zaidi.

Mimi : Eboo!!!

Ndio maana zamani mtoto wa kike akisha vunja ungo tu anaozeshwa.

Hata hivyo mtoto huyu wa kike alie asi mamlaka ya baba ake nyumbani huwaga anajirudi akiwa na around miaka 20 hadi 25 hivi wakati huo tayari:👇

1. Ameisha jua dunia tayari.

2. Ameshakuwa single mother.

3. Amepigwa matukio kwenye mahusiano.

4. Classmates wake wa secondary wamemaliza chuo wana kazi zao na maisha yao tayari.

5. Ambao hawakubatika kwenda chuo lakini hawakuwa asi baba zao wapo kwenye ndoa zao wana biashara na shughuli zao.

Bahati mbaya ni kwamba binti huyu anajirudi kwa baba ake katika kipindi ambacho baba ake tayari amesha move on. Ameshakubaliana na matokeo .Ameshakubali ukweli mchungu kwamba watoto wote wa kike wapo hivyo. ( mtu kama p.funky ameshakubali matokeo kwa Paula muda mrefu sana )

And he has nothing to do with her. ( not p.funky am talking about the father who has already move on )

Binti anarudi home anamwambia baba nataka kwenda kusoma QT.

Baba anakuwa hana tena interest with her daughters education. Huu ushirikiano ambao binti anauonyesha now alipaswa kukuonyesha at the right time when she was 15 or something sio tayari amesha kuwa lishangazi.


SULUHISHO.

1. NEVER BE A PROUD DADDY TO YOUR DAUGHTER CAUSE AT THE END OF THE DAY YOU WILL BE DIS APPOINTED BIG TIME.


2. ISHI NA UKWELI HUU:
Huwezi kumzuia mtoto wako wa kike asigongwe. Ila unaweza Kumchelewesha. Badala ya kuanza kugongwa akiwa na miaka 12 basi at least aanze akiwa na 15 au zaidi.
Umemaliza...ukweli nchungu sana huu..too bad😭
 
Mi pia ni shuhuda wa dadangu katika hiki kisanga and finally she choose to be a marriage to his her Bf and that time akiwa class 5 in advanced level kiko wapiii sasa. Jamani tusipuuze hili suala
 
Duh mkuu you're projecting your fears and failure (maybe) as a father onto other people.
You confuse reality with fear? If you actually want to be on the safe side you must learn how ro appreciate the danger in any situation.

Kama binti yako amekudissappoint mahali sio mabinti wote wanakua hivyo,
Wengi wao wapo hivyo.

Kuna mabinti wengi tu ni wasikivu wakiambiwa jambo wanasikiliza,wanaheshimu wazazi wao, wanajitambua na wanajua kujisimamia,
Dar hii hii mkuu?

usimtabirie mabaya huyo binti wa shetta

The best way to predict the future is to create it.

Utabiri sio uchawi ni sayansi na logic.

Kama rafiki yangu anatembea na wake za watu nikimwambia " utakuja kuuwawa" Mimi siwi mtabiri ila ninakuwa ninaongea kutokana na uzoefu wangu plus my personal understanding of the nature of human mind..

Ill uweze kuishi maisha salama hapa duniani lazima uwe na uwezo wa kutabiri mambo. Kwa mfano Mimi Binafsi siwezi kuja kukuchinja hadharani kwa sababu ninajua ( in advance) kwamba nikifanya hivyo nitakamatwa..

So kutabiri maana yake ni kuitumia akili yako kujua kitu gani kipo likely kutokea mbeleni endapo kitu hiki ama kile kitafanyika.
.Achana na hiyo negative mentality.

Unaiita negative mentality kwa sababu umechagua kuamini hivyo. Ila kama unge fikiria tofauti ungeweza ku u regard uzi wangu kama intelligence report ambayo inapaswa kufanyiwa kazi accordingly.

Nikimwambia rafiki yangu " kutembea na wake za watu utakuja kuuwawa siku moja hapo siwi negative ila ninakuwa ninamwambia ukweli ambao anatakiwa kuufanyia kazi ili usije ku manifest in reality.

Kuna vitu siwezi kufanya kwasababu tu najua yataharibu mahusiano yangu na mzee wangu na yatamuumiza Sana

Nilie somea Cuba nimeielewa hivi kwamba hivyo vitu ambavyo huwezi kuvifanya kwa sababu hutaki baba ako ajue, huwaga unavifanya ila kwa siri sana as long as baba ako asijue.

But take it from me kuna age ukisha fika mwanamke, vitu utakavyo vifanya vinakuwa vinamuumiza zaidi boyfriend au mume wako kuliko baba ako.

Kwa mfano ukitokea kule apuni una gusanisha ndimi na mchepuko wako, atakae umia zaidi ni mume wako kuliko baba ako.

.Pole Kama binti yako alikuangusha hakuna mwalimu wa malezi.
Kilio cha wengi ni harusi🤣🤣🤣
 
Mi pia ni shuhuda wa dadangu katika hiki kisanga and finally she choose to be a marriage to his her Bf and that time akiwa class 5 in advanced level kiko wapiii sasa. Jamani tusipuuze hili suala
Hawa viumbe hawa halafu akiamua lake ameamua.
 
Hiki kitu nilishawaza na kujiandaa kiakili kabisa siombi yatokee kwake lakini unachosema ni sahihi members watabisha, lakini huu ni ukweli tuishi tukijua uliyoandika yanaweza kutokea au la na kama yakitokea ujue namna ya kuishi naye, wababa wengi wamekufa au kupata magonjwa yasiyoambukizwa wakati huu wa balehe wa binti zao, mabinti huwa wanachukuwa na tabia tofauti kabisa mpaka unajiuliza huyu binti nilimzaa mimi kweli au, nina mifano halisi kabisa balehe imewaondoa mabinti kama watatu ambapo wawili kati yao wazazi wao walikuwa ni watumishi kanisani lakini balehe haikuwa na huruma kabisa mmoja amekuwa Malaya kicheche akasome mwingine anabwia unga na familia ilishamtenga.
 
hiyo ni fallacy of generalization.Kisa binti yako alikuwa malaya kakudissapoint unaconclude kwa mabinti wote.
Malaya ni nani? Malaya ni mwanamke yoyote yule ambae hadi wazazi wake wanajua kwamba mtoto wao wa kike kila siku usiku huwaga ana kazwa na jamaa fulani...

Mwanamke huyo hupewa hadi Cheti cha kuhalalisha umalaya wake. Cheti hicho hupewa na viongozi wa dini.

ACHA KUJIFANYA HUJUI NAMZUNGUMZIA NANI MKUU.

OOH au unataka nikwambie?

Alright!

Kama baba ake na mama ako ( babu yako kizaaa mama ako ) alikuwa anajua kwamba baba ako ndio ana ishi na mama ako basi tayari ushamjua ninae mzungumzia.

Mtoto wangu pamoja na umalaya wake wote lakini hamfikii huyo nilie mtaja hapo juu kwa sababu mtoto wangu anafanya mambo yake kwa siri sana tena mbali kabisa na ninapoishi mimi na anaemkaza wala simjui wala hawezi kuthubutu kuniambia wala kumtambulisha kwangu.

Lakini huyo wa kwako, alienda hadi nyumbani kwa baba ake kumtambulisha anae mkaza. Kuna umalaya kama huo?
 
Hiki kitu nilishawaza na kujiandaa kiakili kabisa siombi yatokee kwake lakini unachosema ni sahihi members watabisha, lakini huu ni ukweli tuishi tukijua uliyoandika yanaweza kutokea au la na kama yakitokea ujue namna ya kuishi naye, wababa wengi wamekufa au kupata magonjwa yasiyoambukizwa wakati huu wa balehe wa binti zao, mabinti huwa wanachukuwa na tabia tofauti kabisa mpaka unajiuliza huyu binti nilimzaa mimi kweli au, nina mifano halisi kabisa balehe imewaondoa mabinti kama watatu ambapo wawili kati yao wazazi wao walikuwa ni watumishi kanisani lakini balehe haikuwa na huruma kabisa mmoja amekuwa Malaya kicheche akasome mwingine anabwia unga na familia ilishamtenga.
Duh inasikitisha sana mkuu nakumbuka miaka ya 2013 jamaa anaishi mtaani kwetu ni mlokole alikuta binti yake ake akiwa anatumia simu na alivyo enda kwenye chati akakuta mtoto anachati na jamaa anasema anapenda mwanaume mwenye mboo kubwa sana. Msichana alikuwa na miaka 13 yupo form one. Pia akagundua mtoto alibikiriwa darasa la sita akiwa na miaka kumi na moja chooni na maanafunzi mwenzake. Ana ma ex kama wawili. Jamaa ilimchanganya sana hiyo situation alikujaga kukaa sawa baada ya kama mwaka mmoja hivi
 
Mtoa mada upo sahihi sana, wanaopinga wengi ndio wahanga wenyewe wa ugonjwa ulioutaja na hawataki kukubaliana na ukweli.
Proud Daddy Syndrome. Nice Daddy🤣🤣🤣
 
Mie naamini anaweza akaendelea kuwa decent na mtiifu kwa baba yake siku zote. My worry ni huko ndani ya chama, nyota yako iking'aa sana katika umri mdogo wanakumaliza chap. Ref Amina Chifupa, Ipyana Malecela etc
 
Mie naamini anaweza akaendelea kuwa decent na mtiifu kwa baba yake siku zote. My worry ni huko ndani ya chama, nyota yako iking'aa sana katika umri mdogo wanakumaliza chap. Ref Amina Chifupa, Ipyana Malecela etc
Duh too bad
 
Aiseee nimepata katoto kangu ka kwanza ka kike December hii aisee Mungu ampe afya njema na namtakia kila la kheri
 
Ukweli umewauma, wengi wameishia kukutukana tu..
Mtoto wa kike akiwa na boyfriend ni jau sana, mambo mengi huanza kuharibika hapo.

Na omba awe na boyfriend lika lake ambae maybe wanasoma wote au wako level moja.
Usiombe chalii ya kitaa ndo iwe inamsugua, dadeki hachukui round kuzingua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas.
 
Hata mtoto wa kiume akisha balee tu na kupata girl friend wake,basi hata kwao anapasahau kabisa, yeye na girl wake tu,na anaweza iba hata pesa home ili mradi akamuhonge mtu wake!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
If you get ur first daughter at the age of 16 yrs means u used to walk at wrong path , probably it just hard to ur first born to walk at the right path

Law of compasate , Ulichoingiza ndani ndo kilichotoka nje
 
Back
Top Bottom