Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Itakuja siku utaambiwa "kaka nipe wee kile anachonipa yule unaempigaga ngwara" sijui utasemaje lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaaah
 
Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.

Sasa leo nimekuja hapa home nimekuta wanamsema huyu mdogo wangu, kuhusu tabia za kihuni. Mimi kama kaka mwenye uchungu na kuharibikiwa kwake nikalazimika kuvunga ili baadaye nimuulize. Sasa hatimaye nikapata nafasi nikamuuliza shida nini, akasema wanamsingizia ameanza uhuni. Nikamshauri sana na kumuambia asome kwa bidii, ukizingatia nimemzidi miaka 6.

Akanijibu na kuniambia niache mambo ya kike, niwe kama mwanaume na nisimfuatilie fuatilie. Sikuamini kwa kauli hii, nusu nizimie kwa kweli. Mpaka muda huu bado siamini, kosa langu lipi?

Je, au ndio haitakiwi kumpenda na kuzoeana na mdogo wako wa kike? Kumsisitiza kusoma ni kosa? Nimeukumbuka uzi humu wa jamaa akisema hakuna kucheka cheka na mwanamke awe ndugu yako au mtu baki, nimeamini sasa. Mbaya zaidi haya matusi amesikia mpaka house girl, ambaye tulikuwa tunaheshimiana sana. Hivi nitamuangaliaje usoni? Kifupi sipo sawa, bora angekuwa mtoto ndiye amenitukana, ila huyu binti wa form four mwenye akili timamu mwenye miaka 20 hapana.

Bado sijaamini! Sijui cha kuomba ni nini, ushauri au. Nashindwa ku type sipo sawa.
Bro pole sana nia yako ni nzr lkn yy hataki kukusikiliza.kuna msemo asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu ww muache atapetape akili ikimkaa sawa ndipo atakapogundua umuhimu wako.Kwanza hajielewi binafsi nimeguswa yaan anakuambia usiwe km mwanamke hiyo ni dalili tosha kabisa ya kugundua heshima gani anayo kwako.
 
Ameonja dudu kwa mwanaume mkubwa zaidi yako, so anaona huna cha kumwambia kama bwana kaka
 
Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.

Sasa leo nimekuja hapa home nimekuta wanamsema huyu mdogo wangu, kuhusu tabia za kihuni. Mimi kama kaka mwenye uchungu na kuharibikiwa kwake nikalazimika kuvunga ili baadaye nimuulize. Sasa hatimaye nikapata nafasi nikamuuliza shida nini, akasema wanamsingizia ameanza uhuni. Nikamshauri sana na kumuambia asome kwa bidii, ukizingatia nimemzidi miaka 6.

Akanijibu na kuniambia niache mambo ya kike, niwe kama mwanaume na nisimfuatilie fuatilie. Sikuamini kwa kauli hii, nusu nizimie kwa kweli. Mpaka muda huu bado siamini, kosa langu lipi?

Je, au ndio haitakiwi kumpenda na kuzoeana na mdogo wako wa kike? Kumsisitiza kusoma ni kosa? Nimeukumbuka uzi humu wa jamaa akisema hakuna kucheka cheka na mwanamke awe ndugu yako au mtu baki, nimeamini sasa. Mbaya zaidi haya matusi amesikia mpaka house girl, ambaye tulikuwa tunaheshimiana sana. Hivi nitamuangaliaje usoni? Kifupi sipo sawa, bora angekuwa mtoto ndiye amenitukana, ila huyu binti wa form four mwenye akili timamu mwenye miaka 20 hapana.

Bado sijaamini! Sijui cha kuomba ni nini, ushauri au. Nashindwa ku type sipo sawa.
Niliyemhadithia hapo, hadi sasa hawaelewani na kaka yake, peak ya kutoelewana imetokea miaka 7 iliyopita.

Muache ipo siku atakumbuka kauli/maonyo/usia zako.
 
Ulitakiwa una mpiga Kofi Moja la nguvu sana (mgongoni lakini sababu kichwani na sehemu nyingine unaweza jitafutia kesi) alafu unampotezea mazima. Simple tu
 
Kwakweli mkuu huyo mtoto amekukosea sana, ila hapo cha muhimu ni wewe kuacha mambo ya kike na kuwa mwanaume tu mkuu.
 
Yani ingekuwa mimi ile anamalizia neno la mwisho tu namsindikiza na kibao kimoja kitakatifu,akipata fahamu anadrip
 
Mdogo wetu matokeo ya Form 4 alipataje? Kaenda 5 au?
 
Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.

Sasa leo nimekuja hapa home nimekuta wanamsema huyu mdogo wangu, kuhusu tabia za kihuni. Mimi kama kaka mwenye uchungu na kuharibikiwa kwake nikalazimika kuvunga ili baadaye nimuulize. Sasa hatimaye nikapata nafasi nikamuuliza shida nini, akasema wanamsingizia ameanza uhuni. Nikamshauri sana na kumuambia asome kwa bidii, ukizingatia nimemzidi miaka 6.

Akanijibu na kuniambia niache mambo ya kike, niwe kama mwanaume na nisimfuatilie fuatilie. Sikuamini kwa kauli hii, nusu nizimie kwa kweli. Mpaka muda huu bado siamini, kosa langu lipi?

Je, au ndio haitakiwi kumpenda na kuzoeana na mdogo wako wa kike? Kumsisitiza kusoma ni kosa? Nimeukumbuka uzi humu wa jamaa akisema hakuna kucheka cheka na mwanamke awe ndugu yako au mtu baki, nimeamini sasa. Mbaya zaidi haya matusi amesikia mpaka house girl, ambaye tulikuwa tunaheshimiana sana. Hivi nitamuangaliaje usoni? Kifupi sipo sawa, bora angekuwa mtoto ndiye amenitukana, ila huyu binti wa form four mwenye akili timamu mwenye miaka 20 hapana.

Bado sijaamini! Sijui cha kuomba ni nini, ushauri au. Nashindwa ku type sipo sawa.
Miaka 20 yupo form four badala ya kuwa university nipe namba yake
 
Back
Top Bottom