Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

huu uzi nimeuona leo dah! ila pole kama umezoeana na mdogo wako, me huwa naendaga na dogo hivi👇 Emagine hii ni kuchat social media
 

Attachments

  • Screenshot_20220910-203622.jpg
    43.9 KB · Views: 2
Miaka 20 unnamshauri nini?
Huyo ni mtu mzima..
Unam treat mtu wa miaka 20 kama ana miaka 12..?

Matusi umejitakia..
Vijijini huyo ni mama wa vikoba na analima shamba lake mwenyewe
Kabisa tena kwa kijijin huyo anawatoto watatu na mkubwa yupo darasa la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…