Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!


umesema wewe ni lawyer ati?
 
Hapo wa takuja kumgegeda na wengne alaf akawa na kbend ukalaumu wengne chamsing n kula buyu...kwa stail hiyo mhh.
 

Amekuambia ameshachezewa na wangap?
We umechezea wangap?
Be smart aisee mwanamke halindwi especially not kipuuz hvyo
 
Unazidi kunipandisha hasira miss chagga

Mimi nataka apate mume sio achezewe tu

Duu unakua kama huna ubongo bana mbn hufikirii hvyo she is capable of making her own decisions bana kama yeye ndo anataka kumuonja Mzee Wa CBA je?
Kwani hawajaanza hata kudate unataka ndoa duuu
 
Last edited by a moderator:
hapa lawyer umenipoteza. you guess milango yote imefungwa? mh, nahitaji kujifunza kwa utulivu zaidi kumbe.

Kujifunza nini tena mkuu?! Nimesema i 'guess' kwa sababu sina hakika.
 
kwa magwiji tumeshajua huyo ameshaliwa/ataliwa tu na hufanyi lolote........

ukiwa na Dada ,kubali kuwa shemeji ndugu
 
Acha mkwara wewe! Uanasheria wako ndiyo umtishie nani? Nyinyi ndiyo mnaokwaruzana na watu barabarani halafu mnawatiishia kwa kuwauliza, 'unanifahamu mimi?' Mkuu huyo dadayo una uhakika bado bikira? Kijana inabidi ukue huyo ni mwajiriwa, pia siyo mwanafunzi na najua yuko above 18 yrs! Yuko huru kufanya maamuzi yake! Cha kukusaidia labda ungemshauri tu ili awe makini na mabazazi wasije wakamchezea na kumwacha! Kiufupi labda uwe na kazi yakuwa unawafuatilia wanaume wote wanaomtongoza dadayo, sijui utaweza? Kama ni sheria si ni pesa tu, na yeye ataweka mawakili unaanza kupambana nao! Uwe mshauri mzuri tu kwa dada yako mengine achana nayo!
 

Na leo atakuja tu, ntampa mpaka lift.
 
Acha wivu, mikwala na kutishia nyau, wewe mbona uliwatokea/unawatokea/utawatokea dada za watu

Wewe hujui kuwa kila mla cha mwenzake na chake huliwa pia?
 
hahahahaha nahisi huyu atakuwa ni MUTA huyu....sasa yote haya ya kunywa .... na .... yametoka wapi?


Pili wewe umeshachezea wangapi hadi huyo dada yako asichezewe....? Kama umekula vya wenzako na vyako lazima viliwe...(Mkuki kwa nguruwe ...binadamu .............)
 
duh wakuu ila ni haki ya kila mwenye kaka au dada kumlinda mwenzake hasa kama mmoja yule alietangulia kuliona jua kumlinda yule mdogo me sioni kosa la uyo kaka kuwa protective ova ha sister its very nrmal,na anasema hivo kwasababu nae pia ni mwanaume anazijua tabia zenu wanaume wenzake . ila jamaa ungekaa na dada mkabonga yakaisha those are private issuez and they absoulutely do not need public attention......... geezz kila mwenye kaka hakosi shemeji lakini ni kwa muda unaotakiwa waungwana
 
Kawaida lile unalotaka hulipati na usilolitaka ndio laja kwako,acha biti huyo dogo lazima apitiwe na mwewe tu,maana ni kifaranga.
 

Well said, mkuu!
 

sasa lawyer naomba unisaidie kitu kimoja kwa iyo huyo jamaa utamfunga kwa kosa gani la kumgonga mdogo wako au kwani mdogo wako mwanafunzi
kwa iyo utamgonga mwenyewe huo
huo ugumu dogo aupeleke wapi
 
Mrejesho tafadhali aliolewa au ni new single maza in town?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…