Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Naona umeamua kumpigia dada yako promo kabisa!.. Ok mpigie shemejio simu kwa kuwa card yake unayo!
 
da mkuu mbona umetokwa povu sana aisee kwani we hujawahi kuachia namba kabinti sehemu bana ....alafu we mambo ya dogo mbona unayaingilia kama vile ulipewa wewe hiyo Biz Card, naona badala ya kuja hapa kutokwa povu jingi ungekaa chini na dogo ukampa strategy ili asije chezewa akaachwa zaidi ya kuja hapa ukajifanya unapiga mkwara.....maana we ni mwana sheria lakini hata sheria yenyewe umeshindwa kuitumia vizuri sasa sijui kuna offence gani kama mtu akimuachia biz card mwanamke??na ukizingatia dada yako ni over 18 so hakuna uvunjifu wa sheria yoyote kajipange tena urudi ha ha ha ha ha
 
Aaaaaaaaahh bora umemjibu mwenye dada hakosi shemeji angekuwa anasoma sawa tu
 
Back
Top Bottom