Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #241
Yale yale! Kwa hiyo hata sheria ya U-18 ina apply kuwa haitekeleki?
Mkuu ukitembea na mtoto wa below 18 lzm uwe strictly liable kwasababu sheria iko wazi. Sheria yenyewe ni SOSPA ( Sexual Offences Special Provision Act)
Kwa kesi ya kufanya kazi kwny balozi ni tofauti, as i told u sera za ajira kwny maeneo haya wanapima uwiano kati ya qualifications na perfomance ila age limit ni kuanzia miaka 17.
Sasa ukisema miaka pia haitekelezeki una maana gn? wkt nimeshakueleza ukiwa na sifa na umri wa miaka 17 unaweza kuanza kazi kwenye balozi kama intern wkt huo unakua kwny probation, wakiridhika na perfomance yako ndio wanakupa mkataba wa kudumu at the age of 18.
Kipi kigumu hapo?