Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

unapoteza muda tuu,mpaka dada kakupa hizo story kashaliwa zaidi ya mara 3 na huyo jamaa.Anakupima reaction yako tuu je ikiwa hivyo utachukuliaje?

Watoto wa kike wapo vizuri kudanganya walezi wao
 
Jamani hebu tuwekane sawa hapa.

In law, not mechanics, kuna mtu tunamuita 'minor', huyu ni mtoto either ME au KE, ambaye hajafika umri wa miaka 18.

The law pressumes that huyu mtoto hana free consent when it comes to a contract, hata ukimtongoza akakubali bado sheria itakufakisha.

On the other hand, kuna tofauti kati ya sheria na sera.

Hizi embassy zina sera ya ajira, subiri nikuwekee link hapa uone kama umri ni tatizo especially kwenye kada anayofanyia dogo.

Wait kdg....

hata sheria zetu za kazi kuna exceptional zinaruhusu kufanya kazi
 
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana!

Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata breakfast nikawa nashushia na ka-juice baridiii!

Nikaanza kumuona ananisogelea, mara ooh kaka nikudokeze jambo? nikamwambia go ahead. Amenizoea ndio, ila leo naona kama kavuka mipaka!

Akaanza ooh kaka jana nilikua Igoz Lounge, kuna mkaka alikua pembeni yetu nikamuelewa sana!!! Nikamuuliza anaposema anamuelewa anamaanisha nini?

Akasema amempenda! nikapigwa na butwaa! Akaendelea kusema eti amempendea perfume aliyokua amepulizia na ana uso wa upole!

Sasa to cut the long story short, we jamaa uliyekutana na mdg wangu jana, kama umo humu naomba uwe mstaarabu, kama umempenda kweli fuata taratibu. Ndio mdg wangu ameshakua mtu mzima lkn sipendi achezewe ktk umri mdg huu, she has a long way to go.

Unafanya kazi CBA, umemuachia business card, ulimkuta dogo na rafiki zake wanakunywa peroni ukataka kuwaagizia wakashukuru tu hawakukubali.

Mimi ni lawyer sasa kama unataka kupotezwa upuuzie haya maneno yangu, nimeshatoa 'disclaimer', jina lako ninalo hapa kwenye hii business card yako, sawa umependwa lkn uje nyumbani ufate taratibu tukupe mke, nimefunguka makusudi kwamba dogo kakupenda ingawa hakukwambia, coz nikificha huenda madhara yakawa makubwa zaidi.

Hata kama haumo humu naomba uzi huu uwe fundisho kwa wengine.

A.C

alafu wengine hovyo sana..... Eti we ni lawyer blah blah blah, yada yada yada..........!! Who cares??? Huwezi kumchunga mdogo wako wa kike, atamegwa tu, and u cant do anything! Hahahaha
 
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana!

Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata breakfast nikawa nashushia na ka-juice baridiii!

Nikaanza kumuona ananisogelea, mara ooh kaka nikudokeze jambo? nikamwambia go ahead. Amenizoea ndio, ila leo naona kama kavuka mipaka!

Akaanza ooh kaka jana nilikua Igoz Lounge, kuna mkaka alikua pembeni yetu nikamuelewa sana!!! Nikamuuliza anaposema anamuelewa anamaanisha nini?

Akasema amempenda! nikapigwa na butwaa! Akaendelea kusema eti amempendea perfume aliyokua amepulizia na ana uso wa upole!

Sasa to cut the long story short, we jamaa uliyekutana na mdg wangu jana, kama umo humu naomba uwe mstaarabu, kama umempenda kweli fuata taratibu. Ndio mdg wangu ameshakua mtu mzima lkn sipendi achezewe ktk umri mdg huu, she has a long way to go.

Unafanya kazi CBA, umemuachia business card, ulimkuta dogo na rafiki zake wanakunywa peroni ukataka kuwaagizia wakashukuru tu hawakukubali.

Mimi ni lawyer sasa kama unataka kupotezwa upuuzie haya maneno yangu, nimeshatoa 'disclaimer', jina lako ninalo hapa kwenye hii business card yako, sawa umependwa lkn uje nyumbani ufate taratibu tukupe mke, nimefunguka makusudi kwamba dogo kakupenda ingawa hakukwambia, coz nikificha huenda madhara yakawa makubwa zaidi.

Hata kama haumo humu naomba uzi huu uwe fundisho kwa wengine.

A.C
anakudanganya tu, alichonipendea sio perfume, nilishamgegeda na alipochukua ile buz card mbele ya wenzie alikuwa anavunga tu ili asionekane na wale wenzie kuwa mimi ni mtu wake kwasababu nimemzidi umri sana. nina watoto karibia wana umri wake. sitamharibia maisha kwasababu tunatumia kinga ila mwenye mali akijua namwonea huruma mdogo wako atavurugwa.
 
mwongo huyo sasa kama ni 17 taratibu gani tena unataka zifuatwe ili unikabithi mke wakati nawe unajua ni bado mdogo..mbna unajichanganya

.. Mr lawyer.perhaps nimekuelewa Mimi pekayangu and I admit that you are so r8.mfunge huyo jamaa;tna Quantanamo ndio inamfaa.siku ya 1 tu akiwa in prison;make sure u take his place and satisfy ur sister.touch her;kiss her then f++++ her.c ndio unachotaka kufny.just do it man.pumbv
 
a barking dog seldom bites.
kuna swali la member hujajibu nahisi
Kama ni under 18 ilikuwaje akaajiriwa huko Embassy?
Inamaana hiyo Embassy haijali haki za watoto?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ninaye mmoja tu na yuko above 18...

Kuwachezea niliwahi ila nikatubu.

You are paying the price now, Poleee

KInachokuumiiza ni vile ukikummbbuka ullivyohezea wa wenzako afu wa kwako anafanyiwa the same.
 
Unazidi kunipandisha hasira miss chagga

Mimi nataka apate mume sio achezewe tu

Wewe umechezea wangapi mpaka umri huu ulio nao? Hacha watu wamgegede maana dogo anashobokea pafyumu tu? Iyo itakuwa essey m... nami akipita anga zangu na mapafyum yangu lazima nimgegede tu, ila atakuwa kicheche sana hajatongozwa keshajitongozesha!
 
Last edited by a moderator:
Igoz lounge iko wapi namimi nipulizie perfume niende! (sura ya upole naiweza pia!)
 
Wewe mpaka saivi umechezea wangapi?
 
Back
Top Bottom