Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Hahaha,dah this is interesting,hivi watu bado wanapiga sound kwa kuacha business card,very suicidal!
 
Kwamba wewe mwanasheria siyo..hao wawili watakapofanya yao ndo utajua maana ya mkataba.
 
Hahahaaaaa don't hate the player,hate the game.Deal na sista mkuu maana kabla hajakupa hiyo business card na kukwambia kuwa kampenda jamaa atakuwa alisha save number ya jamaa.
 
Hapa lawyer amekua provoked.... hahahaaaaaaa....
Wanaume watu wa ajabu sana, si ajabu we unachezea huko ila ikifikia kwa mdogo wako ama mwanao, sura inabadilika.... changes zinaanziaga kwenu....
Nimewaza tu mtoa mada...
 
Hapa lawyer amekua provoked.... hahahaaaaaaa....
Wanaume watu wa ajabu sana, si ajabu we unachezea huko ila ikifikia kwa mdogo wako ama mwanao, sura inabadilika.... changes zinaanziaga kwenu....
Nimewaza tu mtoa mada...

halioni hata aibu kujiita lawyer na linafanya upuuzi hiri rijamaa pumbaafu kweli... Mm nmeriambia toka jana kuwa muraa wewe turia tu wenye meno wajilie vyoa kama inamuuma sana bas na yeye aanza kumgegeda hiri rijamaa ra wapi? Amang'ana
 
Hapa lawyer amekua provoked.... hahahaaaaaaa....
Wanaume watu wa ajabu sana, si ajabu we unachezea huko ila ikifikia kwa mdogo wako ama mwanao, sura inabadilika.... changes zinaanziaga kwenu....
Nimewaza tu mtoa mada...

Exactly nameless girl, in law this is termed as 'provocation'.

Yani hapa nilipo 'heat of passion' iko juu kama ya mmasai aliyechokozwa!
 
Last edited by a moderator:
Nayafahamu yote haya yako kwenye Family law ila unadhan yote yaliyoainishwa kwenye sheria yanatekelezeka kweli?

Stop being blind my friend!

Yale yale! Kwa hiyo hata sheria ya U-18 ina apply kuwa haitekeleki?
 
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana!

Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata breakfast nikawa nashushia na ka-juice baridiii!

Nikaanza kumuona ananisogelea, mara ooh kaka nikudokeze jambo? nikamwambia go ahead. Amenizoea ndio, ila leo naona kama kavuka mipaka!

Akaanza ooh kaka jana nilikua Igoz Lounge, kuna mkaka alikua pembeni yetu nikamuelewa sana!!! Nikamuuliza anaposema anamuelewa anamaanisha nini?

Akasema amempenda! nikapigwa na butwaa! Akaendelea kusema eti amempendea perfume aliyokua amepulizia na ana uso wa upole!

Sasa to cut the long story short, we jamaa uliyekutana na mdg wangu jana, kama umo humu naomba uwe mstaarabu, kama umempenda kweli fuata taratibu. Ndio mdg wangu ameshakua mtu mzima lkn sipendi achezewe ktk umri mdg huu, she has a long way to go.

Unafanya kazi CBA, umemuachia business card, ulimkuta dogo na rafiki zake wanakunywa peroni ukataka kuwaagizia wakashukuru tu hawakukubali.

Mimi ni lawyer sasa kama unataka kupotezwa upuuzie haya maneno yangu, nimeshatoa 'disclaimer', jina lako ninalo hapa kwenye hii business card yako, sawa umependwa lkn uje nyumbani ufate taratibu tukupe mke, nimefunguka makusudi kwamba dogo kakupenda ingawa hakukwambia, coz nikificha huenda madhara yakawa makubwa zaidi.

Hata kama haumo humu naomba uzi huu uwe fundisho kwa wengine.

A.C

Lawyer gani wewe ...upeo wako mdogo sana dadako ana nyege anataka kubanduliwa na kaka mpole unaleta vitisho..shauri zako kwa hasira watu watamtatua malinda kwa ajilimya vitisho vyako vya kibwege hivi
 
Ok tushajua kama wewe ni lawyer na mdogo wako anafanya kazi ubalozini
 
Unazidi kunipandisha hasira miss chagga

Mimi nataka apate mume sio achezewe tu

Eeeh, kwani kachezewaje hapo? Kaka mbona una haraka sana kama m... wa asubuhi? Mambo mazuri hayataki haraka, dadako kapewa b/card kwa mawasiliano zaidi then mengine yatafuata!We ulitaka waonane siku ya kwanza kesho yake aje ajitmbulishe? Au huyo binti yenu mmechoka sasa mwalazimisha/mwataka aolewe haraka??? We kaka wa CBA kuwa makinooooooo
 
Umeng'enye wa wenzio weeee saivi kwa mdogo wako unajifanya unatoa disclaimer! Kijana wa CBA ongezea unyunyu next time ukienda lounge akuelewe vizuri! Halafu kula mzigo tambaa....! U-lawyer utautumia vizuri jamaa akishakuwa baba mtoto wa mdogo wako halafu mdogo wakati kakolea mbaya na muwa wa kijana wa CBA!
 
Mkuu, ukiona manyoya jua kaliwa. Kama mdogo wako kafikia kukuambia kuwa amemdondokea mtu, fahamu kuwa wameishafika mbalia, unajua mabinti wa siku hizi hawajisumbui kuchunguza mtu, unaona Mdada kama huyo anavutiwa na perfume tu, jiulize perfume ni nini katika maisha, hiyo ina maana kuwa hujampatia nasaha za maisha. Mchunge kuku wako mmoja, huwezi kuwachunga vicheche ambao ni wengi. halafu unaweza kuta hata huyo kijana hafanyi kazi huko CBE, kama ni bus cards, mbona zinatengenezwa tu. Kwa nini ampatie bus card na sio numba ya simu, huoni kama kuna harufu ya utapeli hapo !!!
 
Sasa kama mdogo wako ndio kamzimia jamaa taratibu zifatwe kivipi si ndio kishajimaliza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom