Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa!
Viashiria ivyo yanga anavyo kwa 100%, yanga amekuwa awezi kudondosha point kizembe ata kama mechi imewakalia vibaya lazima waondoke na point 3 muhimu!
Yanga awawezi kudondosha point kizembe kwenye uwanja wake wa nyumbani ni mwiko kwakuwa wanajua ni lazima ukusanye kwanza point nyumbani kwako ndio upigie hesabu point za ugenini ambazo uwa ni ngumu kuzipata kirahisi!
Yanga anacheza mechi zake kwa mahesabu makali sana na anajua point ngumu atazipataje na anajua ili ubebe ubingwa inatakiwa upate point muhimu kwenye viwanja Gani!
Yanga imeshakomaa vya kutosha kwenye mbio za kugombea ubingwa na ameshakuwa na uzoefu wa kutosha anajua apitie wapi na wapi ili akusanye alama!
Yanga hana tofauti na timu ya aly ahly ya misri, ni timu inayoanzaga mashindano yake kwa kusua sua lakini kadri muda unavyozidi kwenda uwa wanakuwa hatari sana na wanabeba ndoo Kila Mmoja anabaki kushangaa!
Yanga Wana timu imara ambayo inacheza kitimu iyo ni faida kubwa sana waliyonayo!
Yanga wanaweza kushuka kidogo kiuchezaji kutokana na fatique ama hali ya kimchezo lakini aiondoi Wala kupunguza ubora wao wanaweza kucheza vibaya mechi Moja ama mbili na baada ya hapo wakaendelea kuuwasha moto!
Mambo kama ayo yanaifanya yanga iendelee kuwa timu Bora yenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kuliko timu yoyote Ile kwenye ligi kuu soka Tanzania bara!
Simba walianza kwa Kasi lakini sisi tunaojua Mpira kwa namna tulivyokuwa tunawaangalia style yao ya uchezaji tulikuwa tunajua Awana muda mrefu watadondosha point, kwasababu zifuatazo;
1) Wachezaji walikuwa bado wanatafuta namba za kudumu kwa kocha mpya ivyo walikuwa wanajitoa sana kuonyesha uwezo wao na sasa tiyali morali iyo inaanza kushuka taratibu kwakuwa Kila mchezaji ashajua position yake ni ipi kwenye timu!
2) Makocha wengi walikuwa bado awajazijua mbinu za kocha fadlu pamoja na style ya kucheza ya wachezaji wengi wa Simba kwakuwa wengi ni wageni na sasa mdogo mdogo Kila kocha ameanza kuzifahamu mbinu zake ivyo atapata ugumu sana uko mbeleni!
3) Overconfidence ya wachezaji kwa kushinda mechi 4 mfululizo itaanza kuwatafuna na kitu icho kimeonekana kwenye mechi ya Leo dhidi ya coast union kwa kipa Kamara kufungwa magoli ya mbali uku akiwa ametoka golini kiboya boya akijiamini ya kwamba anaweza kufanya ivyo wakati wowote na akuna wa kumchalenge!
Kiufupi ligi ndio inaanza Simba kudondosha alama 2 na kuruhusu chuma 2, ni alarm ya kwamba timu iliyobaki salama mpaka sasa ni yanga! Awajaruhusu goli lolote na awajadondondosha alama yoyote!