Mdomo wa Adam Mchomvu, tabia na mwenendo wake

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
6D0FA09B-DAB6-4135-9C78-E8629815AB24.jpeg
 
Nilikuwa namkubali sana ila anapoelekea sio
 
Huyu atakua anavuta ma-bange ya hovyo hovyo ya kuokota okota mitaani, mdomo umekua wa hovyo
 
Ndio nani huyo huko Daslam?

Mkuu umeleta mada kama vile wote tunamfahamu huyo! jazia kidogo Thd yako.
 
Adamu mibangi..akomeshwe haraka
Anaujanja wa kizamani sana
Nilikuwa namkubali sana ila anapoelekea sio
usikubali wahuni wasiojitambua miaka zaidi ya 17 kazini hana hata gari
Huyu atakua anavuta ma-bange ya hovyo hovyo ya kuokota okota mitaani, mdomo umekua wa hovyo
domo bangi
Ndio nani huyo huko Daslam?

Mkuu umeleta mada kama vile wote tunamfahamu huyo! jazia kidogo Thd yako.
Umejuaje kama ni DSM?
Wew ni kijana ama mzee?
Unasikiliza mziki gani injili ama wa kidunia?
 
Coz kila mtu JF anaishi Dar na ana Gari kali,
Mimi kua kijana au mzee itakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi?
Kujua nasikiliza mziki gani itakusaidia nini?

Jibu swali nililouliza,kama huna jibu piga kimya acha vimaswali vya darasa la pili unusu.
 
Usiwe zwazwa kama kila mwana jf anaishi dar mbona wew haupo dar?
Akili na nusu
 
Wewe Kapuku umejuaje kama sipo Dar? Acha ujinga jibu ulichoulizwa,hua mnakimbilia tu kuanzisha thd kama vile mnalipwa.
 
Back
Top Bottom