LGE2024 Mdude atolewa Songwe na kupelekwa Mbeya kwa mahojiano zaidi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Polisi wengi wsna tatizo la afya ya akili.
 
Safi! Mdude anatakiwa kutiwa adabu
 
Hapo Ruanda ndiyo kuna basha wake anayemgombea kila siku na mitusi yake kwenye mtandao. Wemempa anachotaka
 
Wanambeya mpo tu ,mnaangalia mwenzenu anateswa na polisi? Kwann msiingilie kati na kuwakata vichwa walau polisi 6??

Siku moja wajaribu kumkamata G4N ndiyo watajuta hawajui.
Upoteze muda wa kwenda kumtetea HAYAWANI anayeporomosha matusi mtandaoni??
 
Ni mtetezi wa wanyonge huyu. Ni vile tu kuwa wewe na wengine hamjitambui ndiyo maana hamuelewi umuhimu wa huyu mwamba Mdude.
 
Wanambeya mpo tu ,mnaangalia mwenzenu anateswa na polisi? Kwann msiingilie kati na kuwakata vichwa walau polisi 6??

Siku moja wajaribu kumkamata G4N ndiyo watajuta hawajui.
Sahihi tunahitaji polisi walau 200 wakatwe vichwa ilituheshimiane
 
Reactions: G4N
Mbeya watamwachia soon. Labda RPC alazimishwe mengine. Hata Mdude keshawahi msifia yule mlokole kwa kuntendea haki na hata kumtetea.
 
Ni mtetezi wa wanyonge huyu. Ni vile tu kuwa wewe na wengine hamjitambui ndiyo maana hamuelewi umuhimu wa huyu mwamba Mdude.
Wanyonge ndiyo nani? Ukikubali kuitwa mnyonge dunia hii ambayo Mungu amekuumba na kukupa akili basi wewe sawa na msukule tu
 
Wewe ni mnyonge, ndiyo maana hata jina lako tu kulitumia humu unaogopa. Imetumia fake ID. Wewe ni mnyonge pro max.
 
Siwezi kuwa mnyonge mimi. Natumia anonymous ID kwa ajili ya uhuru wa maoni. Acha ubwege G4N
 
Wewe hauko huru. Aliye huru kutoa mawazo yake bila kuficha jina lake. Kuficha jina lako maana yake una hofu kwamba maoni yako yakipokelewa visivyo na wenye nguvu itakula kwako. Wewe ni mnyonge pro max.
 
Polisi wanafanya kampeni kiaina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…