Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani walioanzisha JF walikuwa wajinga waliporuhusu anonymous ID? Vitoto vya kuzaliwa 2000 mboga mboga sanaWewe hauko huru. Aliye huru kutoa mawazo yake bila kuficha jina lake. Kuficha jina lako maana yake una hofu kwamba maoni yako yakipokelewa visivyo na wenye nguvu itakula kwako. Wewe ni mnyonge pro max.
Wameweka utaratibu huu ili wanyonge kama Stuxnet mate fursa ya kutoa maoni yenu kwa uhuru. Maana mkitumiw majina yenu halisi hamkawii kupotea jumla.Kwani walioanzisha JF walikuwa wajinga waliporuhusu anonymous ID? Vitoto vya kuzaliwa 2000 mboga mboga sana.
Wakimaliza mkoani?, wanasababisha awe na uwezo zaidi wa kufikiri binadamu akipata changamoto ana amsha ubongo kukabiliana na changamoto kumbe anapofanya hivyo anakuwa na ubunifu mwingineImeelezwa Kiongozi wa Chadema Mdude Nyagali amemaliza mahojiano mkoani Songwe na sasa Polisi wanampeleka Mbeya Kwa mahojiano zaidi
Source Mwananchi
Kumbe nampigia gita mbuzi!!Wameweka utaratibu huu ili wanyonge kama Stuxnet mate fursa ya kutoa maoni yenu kwa uhuru. Maana mkitumiw majina yenu halisi hamkawii kupotea jumla.
Wenye nguvu wanatumia majina yao halisi, na wewe unawafahamu, wamo humu.
Binafsi ningeshauri askari wetu kujitokezq kwa wingi kujitokeza na kwenda kuipigia kura ccm kama wanaipenda sana badala ya kuummiza wapinzani.Yuko mikono salama msijali
Mkuu kwa kosa lipi?? Kwa chuki zako ama?? Tunaelekea pabaya.Safi! Mdude anatakiwa kutiwa adabu
Mkuu neno mnyonge lina tafsiri kadhaa na hutofautiana kati ya mtu na mtu.Wewe hauko huru. Aliye huru kutoa mawazo yake bila kuficha jina lake. Kuficha jina lako maana yake una hofu kwamba maoni yako yakipokelewa visivyo na wenye nguvu itakula kwako. Wewe ni mnyonge pro max.