Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

Vinauziwa humu JF?!

..naomba kuelekezwa vinapouzwa.

..Mdude ni shujaa kwa kujitokeza na kuwataja waliomteka na kumtesa.

..nawashauri wengine waliotekwa au kuteswa wawataje waliohusika.
 
Back
Top Bottom