Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya:
Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na maandishi. Na katika barua hiyo tutawataka wapitie ushahidi kujiridhisha halafu wachukue hatua kuifungia Tanzania na Simba kwenye masuala yote ya mpira. Tukifingiwa mpira akili zitawarudi