- Thread starter
- #41
No, not at all! siyo kwa kebehi hiyo ya kupoza ubongo! Anahitaji kuwa moderated maana anachukia sana yanayofanywa na watawala. Lakini kwa wafalme wa kiafrika lazima kuchagua uwaambie nini na wakati gani. hayo ya kupoza ubongo ni kejeli!Jamaa akiona halaiki ya watu huwa kichwa kinapata Moto huwa inatakiwa akiwa anaongea awepo mtu atakaekua anammwagia maji kichwani ili kupooza rejeta ya ubongo