Mdude hachagui aseme nini na wapi!

Mdude hachagui aseme nini na wapi!

Jamaa akiona halaiki ya watu huwa kichwa kinapata Moto huwa inatakiwa akiwa anaongea awepo mtu atakaekua anammwagia maji kichwani ili kupooza rejeta ya ubongo
No, not at all! siyo kwa kebehi hiyo ya kupoza ubongo! Anahitaji kuwa moderated maana anachukia sana yanayofanywa na watawala. Lakini kwa wafalme wa kiafrika lazima kuchagua uwaambie nini na wakati gani. hayo ya kupoza ubongo ni kejeli!
 
Hakuna kebehi yule kichwa kinapata moto sana afanyiwe operation ya ubongo
 
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.

Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
kama anachoongea hakivunji sherikani mtu mwache aongee ateme nyongo yake apono moyo wala hakuna haja ya kumoderate anachokwenda kuingea ali muradi havunji sheria
 
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.

Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Mwache nae ageuzwe kiwete kama yule mwenzao 🤣🤣🤣
 
Communication Skill kwa mdude hajui ina maana gani, atapayuka ujinga wake tu kama kawaida
Wacha System imnyooshe nae. Maana kuna level ya uvumilivu ikifikiwa option inakuwa ni kukunyamazisha kwa lazima.
 
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.

Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Pamoja sana bwashee!
 
wewe unafikiria uchafu! utakuwa wa pwani maana ......
Sio swala la kufikiria au kutofikiriwa, inasemekana kikundi cha kuteka teka watu kilikuwa kinawabandua. Tunauliza for confirmation. Ni kama imekugusa hivi, washawahi kukubandua na wewe?
 
Kabisa, mdude ni msema hovyo.
Hapana, sio msema hovyo,

Huwa ana hoja za msingi kimantiki,

Tatizo ni uchaguzi wa maneno sahihi ya kutumia kwa hadhira husika.

Kimsingi mdude anajitambua sana, tofauti na vijana wengi wanao jiita eti "chaw**" wa......
 
Sio swala la kufikiria au kutofikiriwa, inasemekana kikundi cha kuteka teka watu kilikuwa kinawabandua. Tunauliza for confirmation. Ni kama imekugusa hivi, washawahi kukubandua na wewe?
Retired ni mtu na heshima zake upuuzi huo waulize watoto wenzako ..kuwa na nidhamu!
 
Ina maana hajui alitokea wapi?? Bas kwa guts zile naamini sio mTz...watz ni waoga mno!inaumiza
Jaribuni kuulizia ndugu zake wako wapi? Wazazi wake wako wapi na Babu na bibi zake walizikwa wapi? Siyo kwa nia ya kumfukuza nchini Bali kujua ni kwa nini ana behave namna hiyo?
 
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake.

Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira yetu let him be moderated so as to maintain a calm environment currently prevailing kwenye mikutano ya hadhara.
Naunga mkona hoja
 
Mdude ni mtu uuru sana asaidiwe na chama kuwa bora zaid
 
Back
Top Bottom