Mdude hachagui aseme nini na wapi!

Mdude hachagui aseme nini na wapi!

Sijasema ni mkosaji, hapana, ila ajaribu kuchagua maneno ya kusema akiwa kwenye jukwaa , maana najua watampa Mic ahutubie. Tunajaribu kuleta maridhiano, hivyo ni vema kuchagua la kusema bila ku compromise our destination..ie KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI!
TAKE NOTE: by the way, hiyo heading siyo yangu , Mods wamei edit kwa kuito kwenye main body ya andiko langu my heading ilikuwa kumwalika johnthebaptist aje tumsikilize Mdude

..Mimi nadhani Mdude akitendewa HAKI atafarijika na kuacha kuzungumza kwa uchungu.

..Je, tumeweka msisitizo wa kutosha kama jamii kuhakikisha wenzetu waliotendewa unyama wanapata HAKI?

..Labda tujiulize MARIDHIANO kwa wahanga kama Mdude ni nini haswa?
 
Hilo nadhani tukatae tukubali haipo hiyo ....hakuna cha fidia wala nini ..nadhani tuanze na hapa tusiangalie nyuma sioni dalili za haki ...hakuna
 
Hilo nadhani tukatae tukubali haipo hiyo ....hakuna cha fidia wala nini ..nadhani tuanze na hapa tusiangalie nyuma sioni dalili za haki ...hakuna

..Tutaridhiana vipi bila kuangalia, kufariji, kutubu, kujutia, maovu yaliyotokea?

..Kama tumeamuwa kutowafariji na kuwatendea HAKI walioumizwa basi tuwe waungwana kwa kutowazuia au kuwapangia namna ya kuelezea machungu yao.
 
NATOFAUTIANA NA WEWE KWA HILO. MAGUFULI HASWEMWI VIBAYA, BALI WATU WANASEMA ALIYOYAFANYA, MABAYA KWAO NA KWA WALIO WENGI AMBAO ALIONA NI WAPINZANI WAKE
Network inakuja na kukatakata, I'm trying to understand you. Somehow you ain't among those brainless Sukuma gang fanatics, you sound sensible.
 
Basi asisahau kumsema na Mbowe
Ili akufurahishe wewe? Yeye hajateswa wala kudhulumuwa na Mbowe na akiteswa obviously atamsema.
Kama wewe Mbowe amekutesa basi unaruhusiwa kumsema tena kwa kuwa hayuko kwenye uongozi serikalini ni rahisi mfungulie mashtaka kwani si kazi ya Mdude kukubebea wewe Sukuma gang gunia la mimavi.
 
Auwezi kueleweka kwa wafuasi wa Mdude mpaka siku akianza kuwapaka viongozi wa chama ndo wataelewa kwamba huyu mtu achagui maneno yapi na wakati upi kuyasema.
 
Network inakuja na kukatakata, I'm trying to understand you. Somehow you ain't among those brainless Sukuma gang fanatics, you sound sensible.
For your information, I am a staunch believer of Chadema though I am not yet a member! Chadema imesajiliwa kwenye moyo wangu! Erythrocyte We need digital registration in Tanga
 
..Mimi nadhani Mdude akitendewa HAKI atafarijika na kuacha kuzungumza kwa uchungu.

..Je, tumeweka msisitizo wa kutosha kama jamii kuhakikisha wenzetu waliotendewa unyama wanapata HAKI?

..Labda tujiulize MARIDHIANO kwa wahanga kama Mdude ni nini haswa?
Well presented! nadhani huko tunakokwenda watadai fidia, na hili ni lazima. Kama DC ameamliwa kumlipa aliyemuweka ndani kwa uonevu, 100,000,000, basi na haya ya wazi kama ya Mdude atapata haki yake.
 
For your information, I am a staunch believer of Chadema though I am not yet a member! Chadema imesajiliwa kwenye moyo wangu! Erythrocyte We need digital registration in Tanga
Same as me, I'm just a member of justice and nothing more.
Huku kwenye kubeba box labda tu watuwekee mazingira mazuri ya kuwekeza home kwa hiki kidogo tunachookoteza.
 
Back
Top Bottom