Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Sawa mkuu..Ni kwasababu ya uonevu aliotendewa.
..Tutaisaidia zaidi jamii tukiwazomea na kuwaandama waliomteka na kumtesa, badala ya kumlaumu Mdude kila anapoonyesha machungu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu..Ni kwasababu ya uonevu aliotendewa.
..Tutaisaidia zaidi jamii tukiwazomea na kuwaandama waliomteka na kumtesa, badala ya kumlaumu Mdude kila anapoonyesha machungu yake.
Sijasema ni mkosaji, hapana, ila ajaribu kuchagua maneno ya kusema akiwa kwenye jukwaa , maana najua watampa Mic ahutubie. Tunajaribu kuleta maridhiano, hivyo ni vema kuchagua la kusema bila ku compromise our destination..ie KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI!
TAKE NOTE: by the way, hiyo heading siyo yangu , Mods wamei edit kwa kuito kwenye main body ya andiko langu my heading ilikuwa kumwalika johnthebaptist aje tumsikilize Mdude
Hilo nadhani tukatae tukubali haipo hiyo ....hakuna cha fidia wala nini ..nadhani tuanze na hapa tusiangalie nyuma sioni dalili za haki ...hakuna..Mimi nadhani Mdude akitendewa HAKI atafarijika na kuacha kuzungumza kwa uchungu.
..Je, tumeweka msisitizo wa kutosha kama jamii kuhakikisha wenzetu waliotendewa unyama wanapata HAKI?
..Labda tujiulize MARIDHIANO kwa wahanga kama Mdude ni nini haswa?
Hilo nadhani tukatae tukubali haipo hiyo ....hakuna cha fidia wala nini ..nadhani tuanze na hapa tusiangalie nyuma sioni dalili za haki ...hakuna
Ni kiboko ya Muhutu Jiwe na wadhifa wake ni kwamba bado anadunda mtaani wakati mtesi kabaki skeleton huko kaburini Chato.Ndio nani huyo mtu?
Ana wadhifa gani hapa Tanzania?
Network inakuja na kukatakata, I'm trying to understand you. Somehow you ain't among those brainless Sukuma gang fanatics, you sound sensible.NATOFAUTIANA NA WEWE KWA HILO. MAGUFULI HASWEMWI VIBAYA, BALI WATU WANASEMA ALIYOYAFANYA, MABAYA KWAO NA KWA WALIO WENGI AMBAO ALIONA NI WAPINZANI WAKE
Ili akufurahishe wewe? Yeye hajateswa wala kudhulumuwa na Mbowe na akiteswa obviously atamsema.Basi asisahau kumsema na Mbowe
Ulitumia yako ile ile tweeter?Niliwahi mwambia Tweeter..ajaribu kuangalia maneno anayotamka...ataponzwa na atakaa peke yake gerezani[emoji119]
For your information, I am a staunch believer of Chadema though I am not yet a member! Chadema imesajiliwa kwenye moyo wangu! Erythrocyte We need digital registration in TangaNetwork inakuja na kukatakata, I'm trying to understand you. Somehow you ain't among those brainless Sukuma gang fanatics, you sound sensible.
Well presented! nadhani huko tunakokwenda watadai fidia, na hili ni lazima. Kama DC ameamliwa kumlipa aliyemuweka ndani kwa uonevu, 100,000,000, basi na haya ya wazi kama ya Mdude atapata haki yake...Mimi nadhani Mdude akitendewa HAKI atafarijika na kuacha kuzungumza kwa uchungu.
..Je, tumeweka msisitizo wa kutosha kama jamii kuhakikisha wenzetu waliotendewa unyama wanapata HAKI?
..Labda tujiulize MARIDHIANO kwa wahanga kama Mdude ni nini haswa?
Tanga ni home au umeolewa huko?For your information, I am a staunch believer of Chadema though I am not yet a member! Chadema imesajiliwa kwenye moyo wangu! Erythrocyte We need digital registration in Tanga
Hahahah imekuuma kusemwa mlevi wako dj mbooowematusi sasa, aende na baba yako as he also deserves being there
Same as me, I'm just a member of justice and nothing more.For your information, I am a staunch believer of Chadema though I am not yet a member! Chadema imesajiliwa kwenye moyo wangu! Erythrocyte We need digital registration in Tanga