Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
"Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa kwenda nchi ya ahadi ya Kaanani, tunayemhitaji ni Joshua na Joshua ni Tundu Lissu"- Mdude.
Mwanaharakati wa haki za binadamu na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali akizungumza na wanahabari mkoani Mbeya kuhusu uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.