Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.Wakuu,
"Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa kwenda nchi ya ahadi ya Kaanani, tunayemhitaji ni Joshua na Joshua ni Tundu Lissu"- Mdude.
Mwanaharakati wa haki za binadamu na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali akizungumza na wanahabari mkoani Mbeya kuhusu uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.
View attachment 3181597
Hizi story za vijiweni naona unapaste kila uzi!Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
Tusisahau mazuri yake, apumzike tu kwa heshima ni mtu ambaye amefanya makubwa snMbowe asepe akafanye biashara tajiri gani unakomaa na ruzuku tu
Huyu hakuwahi kuwa tajiri kwa maana hakuna mahali popote panapoonyesha kuwa ni mlipa kodi anaendana na utajiri.Mbowe asepe akafanye biashara tajiri gani unakomaa na ruzuku tu
Wapinzani gani tena wanapewa nafasi? Sema wanawapa nàfasi watawala_ CCM.Chadema ni Kama kambale,nwanavyopayuka hawakisaidii chama Bali wanawapa nafasi wapinzani wao
Mdude hana Kona kona RPC Mbeya anajua, Delegate wa Dar Central wanajuaWakuu,