Pre GE2025 Mdude: Mbowe pumzika tunamhitaji Lissu kwa sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila waandishi wa habari, hivi kweli unamhoji Mdude kweli? Hayuko timamu huyu
Sijui ni kwanini huwa namuona huyu jamaa kama dishi lake limeyumba, ni kama ana matatizo fulani ya kisaikolojia.

Hii haihusiani na alichosema.
 
CCM wanaogopa uchaguzi wa CHADEMA kuliko wanavyoogopa kumuuliza Mwenyekiti wao kwanini hachagui makamu
 
Neno la Hekima sana kutoka kwa Mdude
 
Things will never be the same again baada ya uchaguzi huu na kuna hatari ya kutokea mpasuko mkubwa sana baada ya uchaguzi kuisha.

Busara ni kwa yule bwana aliyeongoza chama kwa miaka 21 just kutoka hadharani na kudeclear kwamba hatochukua form ya kugombea uongozi ili kazi ya reconciliation na kutibu majeraha ianze mara moja kabla ya siku ya Uchaguzi
 
Mungu alimuadhibu Mussa ndio maana aliiona Kanaani kwa mbali tu. Kwa hiyo Chadema nayo inataka kumuadhibu Mbowe?

Amandla...
 
kibaraka anaumgwa mkono na wavuta bangi kama hawa dah!

sasa atashinda uchaguzi gani kama jamaa kama huyo ndie anaempambania front line dah 🐒
 
tunasubiri kujua tamko kama atagombea, akigombea huyo ni bonge la TISS na tutajua kwa nini serikali hutoa ruzuku kwa wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…