Mdude Nyagali aangukia pua Mahakama Kuu, kesi yake yatupwa

Nashangaa kwani kosa la Mdude ni lipi? Ujinga ukizidi ,upumbavu unazidi ,

Achana na wanasheri niambie kosa la Mdude , Mdude amekatwa akiwa msafara wa Mbowe clip zipo wazi kabisa ,
Hata kuna kile anacho andika chakwaza mamlaka hajibiwe kwa hoja zake .

Mahakama nayo ipo mtegoni why ?

Mambo ya kipumbavu sana
 
Mdude muhuni sana, anatukana watu kila pande ya dunia, asiyefunzwa na mamaye
 
Reactions: UCD
Hiyo ni ishara ya mtu chizi na mwendawazimu!! Hana akili labda za kuvalia chupi yake!
 
Reactions: UCD
Waendelee kumsurubu ili awe na adabu aache kutukana ovyo mitandaoni.
 
hawajathibitisha kuwa Mdude Nyagali alipigwa wala kujeruhiwa
Sasa Mtu mumemuweka ndani atapata wapi muda wa kwenda Hospitali ili Madaktari wakathibitishe kuwa alipigwa na kuumizwa?!
 
Reactions: UCD
Ni kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…