Mdude Nyagali aangukia pua Mahakama Kuu, kesi yake yatupwa

Mdude Nyagali aangukia pua Mahakama Kuu, kesi yake yatupwa

Kila kesi anashindwa ila nyumbu wanamwona eti naye ni Wakili mzuri!! 🤣🤣
Hivyo simba wao nikuwatafuna tu bila huruma kwakuwa kwao ni kitoweo,hivyo mmehalalisha huyo mnyama kuonewa hata vindama vya simba sio?
 
Nashauri yapo mambo mwanadamu anafanya yanafikirisha sana, mdude apelekwe kwanza milembe akapimwe juu ya afya yake ya akili.

#How can court compete with madman!
Atapelekwa mirembe akafanyiwe uchunguzi kama kweli ni kichaa ila kama ni bange kuna chumba kimoja ataingizwa kuna robot zitamtia viboko hadi bange itaisha
 
UYU MDUDE naomba kujua ananufaikaje na na Chadema mana uyu mwamba kapitia mengi sana mengi mengi lkn ajawai kuwa Mbunge wala Diwani ata mwenyekit serikali z mitaa au kuna cheo ndani ya Chadema mbona anajitoa kafala sana . Au Ndio anapenda tu watu wamuongelee kama ivi anajisikisia Rambo Rambo ivi!!!
Hata ingekua ni wewe unaweza kweli kumpa mdude hata ubalozi wa nyumba 3? Maana 10 nyingi
 
Kwani nani hajui kama musa pomo ni wakala wa ile idara
Majaji maafisa vipenyo wa kutosha kulinda maslahi ya CCM.

Video wakati Mdude anakaamtwa na kupigwa zipo na hata picha na video baada ya kupelekwa wilaya nyingine na kuteswa hadi watu walipotoa taarifa alipo zipo na zinaonyesha ana majeraha.
 
Kila kesi anashindwa ila nyumbu wanamwona eti naye ni Wakili mzuri!! 🤣🤣

..Adv.Mwabukusi ndiye aliyemtetea Mdude ktk kesi ya kubambikiwa ya madawa.

..sio kweli kwamba Adv.Mwabukusi ameshindwa kesi zote.
 
..Adv.Mwabukusi ndiye aliyemtetea Mdude ktk kesi ya kubambikiwa ya madawa.

..sio kweli kwamba Adv.Mwabukusi ameshindwa kesi zote.
Madawa gani hayo ya kulevya au?

Kumbe Mdude alishawahi shitakiwa kwa kesi ya madawa? Ndio maana ana akili za kimadawadawa atakuwa ameshaathirika na hayo madawa inabidi wampeleke Hospitali ya Mirembe kwa uchunguzi zaidi
 
..Polisi walimchomekea madawa ya kulevya wakamshtaki na kumuweka ndani kwa muda mrefu. Wakili aliyemtetea Mdude ktk kesi hiyo alikuwa ni Mwabukusi.
 
..Polisi walimchomekea madawa ya kulevya wakamshtaki na kumuweka ndani kwa muda mrefu. Wakili aliyemtetea Mdude ktk kesi hiyo alikuwa ni Mwabukusi.
Lakini ukiangalia matendo ya Mdude inaonekana ameshaathirika na hayo madawa basi ni kweli atakuwa anatumia au alishatumia.
 
Hivi Mwabukusi amewahi kushinda kesi yoyote kama wakili?
 
Lakini ukiangalia matendo ya Mdude inaonekana ameshaathirika na hayo madawa basi ni kweli atakuwa anatumia au alishatumia.
Anatumia madawa au anawakosoa bila hofu viongozi majizi?
 
Hata viongozi wa Chadema wamemterekeza hawana habari naye!!
Anachosha sana, mwishowe chama kije onekana kinamtuma kutukana viongozi kwa kila anapofanya upuuzi wake makada wa chadema wanambeba kumbe ni mabange ya mtu binafsi.
 
Hizi mahakama kanda ya Mbeya ndio zile zilimfunga Sugu kwa hatia ya uongo.
 
Anachosha sana, mwishowe chama kije onekana kinamtuma kutukana viongozi kwa kila anapofanya upuuzi wake makada wa chadema wanambeba kumbe ni mabange ya mtu binafsi.
Bora mvuta bangi kuliko jizi la kura.
 
Sikuwahi kujua kwamba Kuna chombo kingine cha kupata haki Yako ukiacha mahakamani, sasa kama mahakama haioni ulazima wa mtuhumiwa kuletwa mahakamani ili asomemewe mashaka yake wanataka tukimbilie wapi?
 
Back
Top Bottom