Mdude Nyagali aanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731


Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya Madawa ya Kulevya Mdude Nyagali kesho tarehe 25/3/2021 atafika Mahakamani , ambako ataanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili za madawa ya kulevya

Wote mlioko Mbeya mnaombwa kujitokeza kwa wingi mahakamani ili kujionea mtiti wa kamanda Mdude pale atakapoanza kupangua uzushi mmoja baada ya mwingine .

Mungu ibariki Chadema
 
Hakuna Jipya jiandaeni tu kumchangia kama ilivyokuwa jana kwa Yericko Nyerere
 
Kesi kama hizi za kubumbwa zipo nyingi sana halafu wanakuja na tantalila zao za kupraise tu.
 
Hakuna Jipya jiandaeni tu kumchangia kama ilivyokuwa jana kwa Yericko Nyerere
Nitashangaa kama kesi ya madawa itakuwa na dhamana. Taifa limepoteza nguvu kazi kubwa kwa hii biashara aliyokuwa anashiriki Mdude. Tumuombe hakimu atoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…