Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Huo unga chumbani kwake waliweka TISSs.Usifikiri kuwa Mungu ni fala hadi akamuua Kayafa.Kayafa alikuwa ni muonevu kwa wenye haki.He dead for the good reason.Mwenye haki ataishi ila muonevu atakufa.mdude ni muuza unga ushahidi kakutwa nao chumbani. Tuombe Mungu amsaidie lakini hii kesi ngumu kwake.