Mdude Nyagali aanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili

Mdude Nyagali aanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili

Apambane na kesi inayomuhusu basi, kama ingekua kisiasa angeweza kuwa kamalizwa huko huko selo au ingekua uchunguzi unaendelea miaka.

Sasa huyu huku anapiga deal mbovu huku anapiga makelele sana kushutumu serikali.
Wamemrudia anapiga mayowe.
Anyway kakesi kake kadogo tu atapigwa fine mchangieni atoke.
 
Kesho Siku ya tarehe 25-03-2021.

Kesi ya Mdude Nyangali kusikilizwa katika Mahakama Kuu Mbeya.

Pia Mdude Nyangali atapata nafasi ya kutoa utetezi wake
 
Haitapita muda, Mahakama na Bunge, vitadilika kutoka kuwa taasisi za ofisi ya Rais, na kuwa mihimili ya nchi.

Mh. Rais, baada ya kiapo, alisema, tuanze ukurasa mpya, kuna mambo tutayabadilisha mara moja, kuna mambo tutayabadilisha taratibu.

Nina hakika, majaji watataka kuonesha kuwa wana akili na weledi, isipokuwa mazingira yaliyokuwepo yaliwalazimisha kuwa kama walivyokuwa. Ndivyo itakavyokuwa kwa wabunge, japo walipatikana kupitia mchakato mchafu na wa kufedhehesha.
 
Haitapita muda, mahakama na bunge, vitadilika kutoka kuwa taasisi za ofisi ya Rais, na kuwa mihimili ya nchi.

Mh. Rais, baada ya kiapo, alisema, tuanze ukurasa mpya, kuna mambo tutayabadilisha mara moja, kuna mambo tutayabadilisha taratibu.

Nina hakika, majajiwatataka kuonesha kuwa wana akili na weledi, isipokuwa mazingira yaliyokuwepo yaliwalazimisha kuwa kama walivyokuwa. Ndivyo itakavyokuwa kwa wabunge, jaoo walipatikana kupitia mchakato mchafu na wa kufedhehesha.
Bahati mbaya ataendelea kuzungukwa na watu wale wale na ambao wengi wao ni wanafiki, waimba mapambio, wapenda majungu, Mataga, vigeugeu, ndumilakuwili, wafitini na wazandiki!

Hivyo tuombee tu asiingie kwenye mtego wao! Maana nchi itavurugika zaidi.
 
Duh huyu Mdude angekuwa nje sijuhi twita yake ya kwanza baada ya kusikia Magufuli kafa ingekuwaje
 
Huyu mpinga maendeleo akabiliwe vema kwa sheria isije ikawa kuna njama za kumkwepesha na mkono wa sheria.
 
Duh huyu Mdude angekuwa nje sijuhi twita yake ya kwanza baada ya kusikia Magufuli kafa ingekuwaje
Angesikitika tu kama sisi wengine na kumuombea Marehemu , Mdude ni kijana Mcha Mungu sana .
 
Back
Top Bottom