babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Hahahahah noma kweliNina demu liko Bawacha😁
Akiachiwa huru utakuja mbio humu " MAHAKAMA IMETENDA HAKI!"Hakuna Mahakama Kuu Tanzani, ni takataka tu!
Mahakama kuu zipoje mkuuHakuna Mahakama Kuu Tanzani, ni takataka tu!
AminaKila la heri kwake
Kwa swali lako lilivyo, it seems the concept of justice and judiciary in Tanzania in the last five yrs are beyond your comprehension! Have a nice day!Mahakama kuu zipoje mkuu
Same to you mkuuKwa swali lako lilivyo, it seems the concept of justice and judiciary in Tanzania in the last five yrs are beyond your comprehension! Have a nice day!
Bahati mbaya ataendelea kuzungukwa na watu wale wale na ambao wengi wao ni wanafiki, waimba mapambio, wapenda majungu, Mataga, vigeugeu, ndumilakuwili, wafitini na wazandiki!Haitapita muda, mahakama na bunge, vitadilika kutoka kuwa taasisi za ofisi ya Rais, na kuwa mihimili ya nchi.
Mh. Rais, baada ya kiapo, alisema, tuanze ukurasa mpya, kuna mambo tutayabadilisha mara moja, kuna mambo tutayabadilisha taratibu.
Nina hakika, majajiwatataka kuonesha kuwa wana akili na weledi, isipokuwa mazingira yaliyokuwepo yaliwalazimisha kuwa kama walivyokuwa. Ndivyo itakavyokuwa kwa wabunge, jaoo walipatikana kupitia mchakato mchafu na wa kufedhehesha.
Hii kesi Mdude atafungwa maisha, mkumbuke kakutwa na unga chumbani.Huyo ni mfugwa wa Kisiasa hivyo vizibiti ni vya kubambikiwa
Angesikitika tu kama sisi wengine na kumuombea Marehemu , Mdude ni kijana Mcha Mungu sana .Duh huyu Mdude angekuwa nje sijuhi twita yake ya kwanza baada ya kusikia Magufuli kafa ingekuwaje
Kama Magufuli Raisi wa maisha kafa Nyagali hata akifungwa maisha anatoka tu.Hii kesi Mdude atafungwa maisha, mkumbuke kakutwa na unga chumbani.
Kukutwa siyo ishu, namna yalivyokutwa ndiyo ishu.Hii kesi Mdude atafungwa maisha, mkumbuke kakutwa na unga chumbani.
Tema mate chinimdude ni muuza unga ushahidi kakutwa nao chumbani. Tuombe Mungu amsaidie lakini hii kesi ngumu kwake.