Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Mar 25, 2021 #41 sinza pazuri said: mdude ni muuza unga ushahidi kakutwa nao chumbani. Tuombe Mungu amsaidie lakini hii kesi ngumu kwake. Click to expand... Huo unga chumbani kwake waliweka TISSs.Usifikiri kuwa Mungu ni fala hadi akamuua Kayafa.Kayafa alikuwa ni muonevu kwa wenye haki.He dead for the good reason.Mwenye haki ataishi ila muonevu atakufa.
sinza pazuri said: mdude ni muuza unga ushahidi kakutwa nao chumbani. Tuombe Mungu amsaidie lakini hii kesi ngumu kwake. Click to expand... Huo unga chumbani kwake waliweka TISSs.Usifikiri kuwa Mungu ni fala hadi akamuua Kayafa.Kayafa alikuwa ni muonevu kwa wenye haki.He dead for the good reason.Mwenye haki ataishi ila muonevu atakufa.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 Mar 25, 2021 Thread starter #42 kmbwembwe said: Huyu mpinga maendeleo akabiliwe vema kwa sheria isije ikawa kuna njama za kumkwepesha na mkono wa sheria. Click to expand... Hivi mtu mdogo kama Mdude anawezaje kuzuia daraja la Busisi au labda ununuzi wa ndege ?
kmbwembwe said: Huyu mpinga maendeleo akabiliwe vema kwa sheria isije ikawa kuna njama za kumkwepesha na mkono wa sheria. Click to expand... Hivi mtu mdogo kama Mdude anawezaje kuzuia daraja la Busisi au labda ununuzi wa ndege ?
Nuraty J JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 1,724 Reaction score 3,834 Mar 25, 2021 #43 sinza pazuri said: Hii kesi Mdude atafungwa maisha, mkumbuke kakutwa na unga chumbani. Click to expand... Kukutwa na unga chumbani haitoshi kufungwa maisha, bali wanatakiwa wathibitishe pasina shaka kama kweli unga ni wa mshtakiwa au wamekujanao wao
sinza pazuri said: Hii kesi Mdude atafungwa maisha, mkumbuke kakutwa na unga chumbani. Click to expand... Kukutwa na unga chumbani haitoshi kufungwa maisha, bali wanatakiwa wathibitishe pasina shaka kama kweli unga ni wa mshtakiwa au wamekujanao wao
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,278 Reaction score 24,079 Mar 25, 2021 #44 Wauza ngada wote washughulikiwe ipasavyo.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,704 Reaction score 9,932 Mar 25, 2021 #45 Mina cute said: Kukutwa na unga chumbani haitoshi kufungwa maisha, bali wanatakiwa wathibitishe pasina shaka kama kweli unga ni wa mshtakiwa au wamekujanao wao Click to expand... Haya sawa, tunawasubiri siku mtayokuja kulia hapa
Mina cute said: Kukutwa na unga chumbani haitoshi kufungwa maisha, bali wanatakiwa wathibitishe pasina shaka kama kweli unga ni wa mshtakiwa au wamekujanao wao Click to expand... Haya sawa, tunawasubiri siku mtayokuja kulia hapa