Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Wawili hao waliteta kidogo namna watakavyoendeleza mipango ya Chama chao.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Wawili hao waliteta kidogo namna watakavyoendeleza mipango ya Chama chao.
Pia soma:
Pre GE2025 - Mwenyekiti CHADEMA, Singida: Maandalizi ya kumpokea Lissu yameiva, Ng'ombe zaidi ya 15 waandaliwa kusherehekea ushindi wake
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii. Soma, Pia: Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye...