Pre GE2025 Mdude Nyagali aibukia Ikungi akutana na Tundu Lissu

Pre GE2025 Mdude Nyagali aibukia Ikungi akutana na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.


Wawili hao waliteta kidogo namna watakavyoendeleza mipango ya Chama chao.

Pia soma:
machizi mawili yamekutana hivi kweli mdude anaweza kuwa na kuongea la maana ?dish limeyumba
 
Back
Top Bottom