Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu hapa ndio ujumbe wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani hajawahi kuwa na rafiki , endelea kujidanganyaUpelelezi unaendelea....hadi pale mtandao wote wa kigaidi utakapo dhibitiwa kikamilifu.
Tanzania sio sehemu salama kwa Magaidi.
endelea kubaki hapahapa jfMdude huu ndio ulikuwa wakati sahihi wakuutoa ule wembe kwenye mkebe na kumnyoa "mama"
tamaaa na uchu ulio pitiliza wa kusaka madaraka kwa njia haramu ndio umemponza Mbowe na genge lake la kimafia.Shetani hajawahi kuwa na rafiki , endelea kujidanganya
Kudai katiba mpya ndio njia haramu ?tamaaa na uchu ulio pitiliza wa kusaka madaraka kwa njia haramu ndio umemponza Mbowe na genge lake la kimafia.
Tatizo zoezi la unyoaji lilitakiwa lifanyike kimya kimya, ukimpigia kelele unayeenda kumnyoa anaweza kuzitia maji🤸🤣🐒endelea kubaki hapahapa jf
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetoka lini mirembe?Mbowe ni gaidi, adhabu ya gaidi ni kunyongwa
WAACHE KULITAJA BURE JINA LA MUNGU. YAAANI MNATENGENEZA MACHAFUKO HALAFU MNAJIBARAGUZA KWENYE MAAANDIKO MATAKATIFU??? HOVYO KABISA.
Pumbavu wewe...Mbowe ni gaidi, adhabu ya gaidi ni kunyongwa
Tatizo sio kudai katiba bali ni matendo yake ya kimafia na kigaidi ya kufikia malengo yake ya kisiasa, huyu Mbowe ana uchu na tamaa iliyo pindukia kiasi kwamba yuko tayari hata kuuwa watu wengine ilimradi tu afikie anacho taka, hana utu wala ubinaadamu kabisaa.Kudai katiba mpya ndio njia haramu ?