Wafuasi wa cdm hawatoelewa hii, majamaa yamejitolea kuwaamn wanasiasa kulko hata maisha yao, moja ya sifa ya mfuas wa demokrasia ni kutobase kwenye mfumo mmoja hasa pale unapokosea, yaan uwe tyr hata kumuhukum yule unayemuamn maana nae anaweza kukosea, sasa hawa wafuas wa cdm wanaamin viongoz wao hawajawai kosea wala hawakosei, huu n upuuz ndyomaana niliacha kuwa shabik wa vyama vya siasa za Tz maana majitu haya hoji undani wa mambo yanayohusu wale wanaoawaamin wala huruhusiw kuhoji wala kuhukumu akikosea kiongoz, zaid ya kuunga mkono hata upuuzi,,Tz hakuna chama chamaana sio upinzan wala sio ccm wote ni wale wale wapuuzi wanaotofautiana upuuzi tu, na wote wana ushetan ambao wanaufanya il kuzid kubaki madarakan kwa muda mrefu, kuna upuuz unaofanywa na upinzan endapo ukiwekwa wazi bas wale wenye akili timamu wataachana na siasa chafu, lkn wale wafia uchafu watakupinga kama wapingavyo ktk hii post, na pia kuna ushetan wa chama tawala, inshort hakuna msafi ktk siasa, wote ni washenzi tu sema wanatofautiana viwango vya ushenzi, kama ccm n wauwaji na wanatumia udicteta kubak madarakani, jua kuwa hata wapinzan hasa cdm wanatumia uo uo udicteta kumbakiza mwenyekit madarakan na yeyote anaehoji anashughurikiwa ipasavyo,,hii ni spesho kwa wale wasio base upande wowote wa siasa, kama unaonea upande wako , haukosei basi ujue kuwa upo ktk level ya upofu wa mahaba ya siasa yaan huoni wala husikii, na hii ndyo ile level ambayo hata wafuas wa mpira na mapenz wakiifikia inaitwa True love yaan unapenda bila kujali maneno ya watu, wala kujari mapungufu ya kile au yule unaempenda..but in reality kuna upungufu mkubwa na uchafu ambao huwez uona mpka utoke nje ya box la mahaba yakipuuzi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]