Mdude Nyagali amtaka Freeman Mbowe kutoogopa yanayomkabili

Kudai katiba mpya ndio njia haramu ?
Tatizo sio kudai katiba bali ni matendo yake ya kimafia na kigaidi ya kufikia malengo yake ya kisiasa, huyu Mbowe ana uchu na tamaa iliyo pindukia kiasi kwamba yuko tayari hata kuuwa watu wengine ilimradi tu afikie anacho taka, hana utu wala ubinaadamu kabisaa.
 
Nadhani hawa wafuasi huwa wana mgawo wa pesa siyo bure haiwezekani mabaya unayaona chama kingine tu lakini kwako unaona hakuna mapungufu. haiwezekani kwa akili ya kibinadamu
 
Mdude eti anamshauri Mbowe,Dunia inamaajabu D😀😀.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…