chadema ni wabunifu wa kuibia watu kuna wizi mwingine mpya kaanzisha tobo lissu kulenyie uvccm mnasubiri zile rushwa za elfu tanotano za wagombea udiwani na mifuko ya chumvi eeee !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chadema ni wabunifu wa kuibia watu kuna wizi mwingine mpya kaanzisha tobo lissu kulenyie uvccm mnasubiri zile rushwa za elfu tanotano za wagombea udiwani na mifuko ya chumvi eeee !!
Kwahiyo unafurahia?jamaa tangu atoke na kwenda kuongea utumbo pale barakuda amenyooka kawa kimya hii inaonyesha amesalim amri hata ropoka tena lasivyo anarudi kwenda kukalia mikuyenge ya watu tena hapo alipo marinda yote walishayatatua
Kutunga kitabu??????Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya Tanzania bila kujali lolote, baadhi ya wahusika wa unyama huo wameanikwa hadharani kwa majina yao matatu matatu.
Uzinduzi wa kitabu hicho ambacho inasemekana kinagombewa mithili ya Sukari enzi za RTC, utafanyika tarehe 5 ya mwezi wa tatu mwaka 2022, uzinduzi huo utafanyika dunia nzima , kwa njia ya kisasa ONLINE.
View attachment 2135154
hiyo akili sasa hivi hana dishi lishayumba kitamboHapo ndo utajua wabongo walivyo na roho ngumu.
Vitagombewa na hapo dogo akituliza akili ndo atatoka mazima
sana watu wasio na akili kama mdude wanini katika taifa la wastaarabu?Kwahiyo unafurahia?
#MaendeleoHayanaChama
Aisee inasikitisha sana kuona kiongozi mmoja anabakia midomoni mwa wananchi hata baada ya kufariki.Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya Tanzania bila kujali lolote, baadhi ya wahusika wa unyama huo wameanikwa hadharani kwa majina yao matatu matatu.
Uzinduzi wa kitabu hicho ambacho inasemekana kinagombewa mithili ya Sukari enzi za RTC, utafanyika tarehe 5 ya mwezi wa tatu mwaka 2022, uzinduzi huo utafanyika dunia nzima , kwa njia ya kisasa ONLINE.
View attachment 2135154
Walidhani wanamkomoa au kumdumaza kumbe ndiyo wanamzidishia maarifaJamaa tangu ametoka gerezani anaonekana stronger zaidi, gereza lilimkomaza.
Labda ni kiswahili tu , sikukizingatia sana kwa sababu ya kuishi Ulaya muda mrefu , nisamehe mkuuKutunga kitabu??????
Kama simulizi ni ya kweli basi ameandika kitabu na sio kutunga
Hakika Mungu hapendi manyanyasoHata mimi nasubiri hicho kitabu,kuna audio yake nilisikiliza jamaa anakwambia alikuwa anapigwa huku wimbo wa dini umekwa sauti ya juu,halafu chumba cha pili kuna mwanamke analia kwa kipigo cha maumivu akiomba wasimuue aisee..
Jamaa anasema ile sauti mpaka leo inamtesa sababu hakujua huyo mwanamke ni nani na alikuwa na kosa gani,na je aliuawa au alipona..
Mwendazake popote ulipo hukufaa kuwa binadamu bali wakala wa shetani..
Wewe Mwakifyale, Join the chain.nyie uvccm mnasubiri zile rushwa za elfu tanotano za wagombea udiwani na mifuko ya chumvi eeee !!
Hujalazimishwa kukisomaStory itakuwa biased tu
unachanganya kinoma kama ametunga nisawa maana hata shigongo anatunga hadithi tamu watu wanazigombania kama sukari kipindi cha zamani huyu hawezi kuandika zaidi ya kutunga uongo tuumeishia darasa la ngapi ?
Mungu akikupangia hakuna mwanadamu wa kupanguaHapo ndo utajua wabongo walivyo na roho ngumu.
Vitagombewa na hapo dogo akituliza akili ndo atatoka mazima
Kwani yako mbona yametatuka ulikiwa jela?jamaa tangu atoke na kwenda kuongea utumbo pale barakuda amenyooka kawa kimya hii inaonyesha amesalim amri hata ropoka tena lasivyo anarudi kwenda kukalia mikuyenge ya watu tena hapo alipo marinda yote walishayatatua
baadae aje avunjike miguu aseme alitaka kuteka kumbe ni hiyo mipombe yake mlevi mkubwa nani ampe nchi? anaungwa mkono wa watu wasio na akili tu mazezetaWewe Mwakifyale, Join the chain.
Tuma pesa mamangi wale bata.
View attachment 2135208
View attachment 2135210
nawewe utakuwa unaliwa pia kama mdude na mbowe sasahivi kule gerezaniKwani yako mbona yametatuka ulikiwa jela?
Umesahau kilicho kukimbiza kutoka Mombasa usiku wa manane?nawewe utakuwa unaliwa pia kama mdude na mbowe sasahivi kule gerezani
watu dizaini ya mdude na mbowe hawana marinda na wewe piaUmesahau kilicho kukimbiza kutoka Mombasa usiku wa manane?