Mdude Nyagali atunga kitabu kuhusu Mateso na unyama aliofanyiwa kwenye Utawala wa Awamu ya 5, kuzinduliwa Machi 5, 2022

Mdude Nyagali atunga kitabu kuhusu Mateso na unyama aliofanyiwa kwenye Utawala wa Awamu ya 5, kuzinduliwa Machi 5, 2022

Kuandika kitabu ni kitu kimoja na kuuza ni kitu kingine .
 
Kifupi kuepuka chochote kibaya tii sheria bila shuruti.Usipotii bila shuruti utaandika vitabu hadi ukome

Ndio summary yangu kwenye kitabu chake.
 
Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya Tanzania bila kujali lolote, baadhi ya wahusika wa unyama huo wameanikwa hadharani kwa majina yao matatu matatu.

Uzinduzi wa kitabu hicho ambacho inasemekana kinagombewa mithili ya Sukari enzi za RTC, utafanyika tarehe 5 ya mwezi wa tatu mwaka 2022, uzinduzi huo utafanyika dunia nzima , kwa njia ya kisasa ONLINE.

View attachment 2135154
Mungu ibariki CHADEMA
 
ungemuacha aliyekuwa anajibu kama hana akili aendelee sasa na wewe umejiingiza kwenye suala lisilokuhusu unawashwa eee??
Umezoea kuwashwa wewe siyo bure
 
Ukitii sheria bila shruti hayatakukuta ya Mdude


Chadema inasema ina wanachama mamilioni 12 mbona wako peace wanaendelea na.maisha yao bila shida hayawakuti ya Mdude?
Mwambieni mdude atii sheria bila shruti ili asiandike kitabu kingine part two
 
Back
Top Bottom