nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Una habari na saa nzuri ila hana marindaAna saa kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una habari na saa nzuri ila hana marindaAna saa kali sana
Aiseee !!Jiwe angekuwa hai angetekwa kabla ya hiyo tarehe
Yule mzee roho ya kishetani ilikuwa ndani yake
Mungu ibariki CHADEMAKama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya Tanzania bila kujali lolote, baadhi ya wahusika wa unyama huo wameanikwa hadharani kwa majina yao matatu matatu.
Uzinduzi wa kitabu hicho ambacho inasemekana kinagombewa mithili ya Sukari enzi za RTC, utafanyika tarehe 5 ya mwezi wa tatu mwaka 2022, uzinduzi huo utafanyika dunia nzima , kwa njia ya kisasa ONLINE.
View attachment 2135154
Umezoea kuwashwa wewe siyo bureungemuacha aliyekuwa anajibu kama hana akili aendelee sasa na wewe umejiingiza kwenye suala lisilokuhusu unawashwa eee??
Shika adabu yakoHiyo Tarehe hapo kwenu DSM kutakuwa na ugeni wa msoma Qur'an kutoka Marekani.
Hivyo tunachanganywa tuende wapi.
Unanitisha siyo.Shika adabu yako
AminaMungu ibariki CHADEMA
Hasa ukifungwa kwa kuonewaJamaa tangu ametoka gerezani anaonekana stronger zaidi, gereza lilimkomaza.
[emoji38][emoji38][emoji38]Unanitisha siyo.