Mdude Nyagali atunga kitabu kuhusu Mateso na unyama aliofanyiwa kwenye Utawala wa Awamu ya 5, kuzinduliwa Machi 5, 2022

nyie uvccm mnasubiri zile rushwa za elfu tanotano za wagombea udiwani na mifuko ya chumvi eeee !!
chadema ni wabunifu wa kuibia watu kuna wizi mwingine mpya kaanzisha tobo lissu kule
 
jamaa tangu atoke na kwenda kuongea utumbo pale barakuda amenyooka kawa kimya hii inaonyesha amesalim amri hata ropoka tena lasivyo anarudi kwenda kukalia mikuyenge ya watu tena hapo alipo marinda yote walishayatatua
Kwahiyo unafurahia?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kutunga kitabu??????
Kama simulizi ni ya kweli basi ameandika kitabu na sio kutunga
 
Aisee inasikitisha sana kuona kiongozi mmoja anabakia midomoni mwa wananchi hata baada ya kufariki.
 
Hakika Mungu hapendi manyanyaso
 
umeishia darasa la ngapi ?
unachanganya kinoma kama ametunga nisawa maana hata shigongo anatunga hadithi tamu watu wanazigombania kama sukari kipindi cha zamani huyu hawezi kuandika zaidi ya kutunga uongo tu
 
jamaa tangu atoke na kwenda kuongea utumbo pale barakuda amenyooka kawa kimya hii inaonyesha amesalim amri hata ropoka tena lasivyo anarudi kwenda kukalia mikuyenge ya watu tena hapo alipo marinda yote walishayatatua
Kwani yako mbona yametatuka ulikiwa jela?
 
Ivi Kuna asie kua na mapunguvu?
Kira ukipitia tawala zote,viongozi wote utakuta jamii furani inalalamika KUHUSU utawala,wa mabavu,uonevyo,unyanyasaji nk.jamii nyingi humpongeza na kumuombea,kwa mema alioyo wafanyia.
Ama kweli hii ndo DUNIA NA WALIMWENGU.
BIE YA KITABU?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…