Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Kwa hawa wataalamu wanao chukua mkojo eti wakaupime ili wapate majibu ya utimamu wa akili ya mtu au kuna wataalamu kutoka Misri?Ningependa akapimwe akili kwanza ili ijulikane kama ni mzima kichwani.Maana lugha na maneno yake anayotoaga ni machafu sana na ambayo hayawezi kutolewa na mtu mwenye utimamu na afya njema ya akili.