Mdude Nyagali bado anashikiliwa baada ya Mbowe na Sugu kuachiwa huru

Ukiangalia comments hapa!!!!
Hapa ndiyo ninapoona watanzania ni madudu ya sayari nyingine isiyostaarabika kabisa! Huyu Mdude kakosea nini?
Kazoea tu kuwasemea nyie ukweli kwa watawala majambazi!
Wezi wa bandari mnawakenua kama ngiri
Wezi wa misitu mnawaangalia kama nyumbu wanaoliwa mto mara
Wezi wa airport zetu mnawakodoelea kama mafisi wanaoota kuuona mfupa kisimani
CAG anasema 1.7trilioni za kodi zenu zimetoroshwa na hazionekani kwenye mahesabu mko tu mnaimba kama ngedere wa mtoni khe ke khe mama anaupiga mwingi!
Hata alipopanda ndege yenu kwenda brazil kudalalia raslimali zenu mpo tu kama misokwe ya gombe RUBBISH!
Wakenya hamieni huku kuna misukule tu!!
Chawa wa mama watakupinga.
 
Siasa ni Sayansi

Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola

Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa

Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Njia pekee ya kumnyamazisha Mdude ni kumuua, Mdude hatonyamaza kwa vitisho vya RPC wa Songwe ambaye uteuzi wake utatenguliwa wakati wowote
 
Miti ya matunda ndiyo huandamwa kwa nawe na vipigo.
 
Ukiangalia comments hapa!!!!
Hapa ndiyo ninapoona watanzania ni madudu ya sayari nyingine isiyostaarabika kabisa! Huyu Mdude kakosea nini?
Kazoea tu kuwasemea nyie ukweli kwa watawala majambazi!
Wezi wa bandari mnawakenua kama ngiri
Wezi wa misitu mnawaangalia kama nyumbu wanaoliwa mto mara
Wezi wa airport zetu mnawakodoelea kama mafisi wanaoota kuuona mfupa kisimani
CAG anasema 1.7trilioni za kodi zenu zimetoroshwa na hazionekani kwenye mahesabu mko tu mnaimba kama ngedere wa mtoni khe ke khe mama anaupiga mwingi!
Hata alipopanda ndege yenu kwenda brazil kudalalia raslimali zenu mpo tu kama misokwe ya gombe RUBBISH!
Wakenya hamieni huku kuna misukule tu!!
WEWE NAWE NI KAMA MDUDE TU WOTE HAMNA AKILI
 
Njia pekee ya kumnyamazisha Mdude ni kumuua, Mdude hatonyamaza kwa vitisho vya RPC wa Songwe ambaye uteuzi wake utatenguliwa wakati wowote
KAMA MNATAKA KUFANYA HIVYO MWAMBIE MBOWE TU HASHINDWIKITU WAMUULIZE WANGWE NA MAWAZO WAKO WAPI MBOWE NOMA
 
WEWE NAWE NI KAMA MDUDE TU WOTE HAMNA AKILI
Utakuwa mke wa Mafwele tu wewe kwa sababu tunajua ana chawa wengi sana nyumbani! kama wake kijana huna aibu kuolewa na mwanaume mwenzio! njaa gani hii!??
 
kulikuwa na sababu gani ya kuanza kupigwa wakati anachomolewa kule kwenye gari? sikuona kama alikuwa ana resist arrest, hayo mangumi aliyokuwa anashindiliwa yalikuwa ya nini?
Kila mara yeye kwenye mitandao huwa anasema atawapiga wakienda kumkamata sasa amekipata cha mtema kuni!! Alipata kipigo cha mbwa mwitu kama ambavyo Sugu alichezeaga kipigo kwa sababu ya maneno yake!
 
ana uwezo gani wa kuwapiga ili hali hata sisimizi anamzidi maarifa? hao polisi waache kutishiwa nyau na waache kumuumiza bila sababu za msingi
 
Alitupa mawe akapigwa kipigo cha mbwa mwizi.Wenzake wajanja yeye akajifanya fyatu kutupa mawe na kujeruhi askari wawili.Akaipata fresh.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom