Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Kwa hawa wataalamu wanao chukua mkojo eti wakaupime ili wapate majibu ya utimamu wa akili ya mtu au kuna wataalamu kutoka Misri?Ningependa akapimwe akili kwanza ili ijulikane kama ni mzima kichwani.Maana lugha na maneno yake anayotoaga ni machafu sana na ambayo hayawezi kutolewa na mtu mwenye utimamu na afya njema ya akili.
MtanzaniaWewe Lucas ni Mnyiha au Msafwa? 😀
Kabisa.... Siasa ni maarifa, jamaa yuko too manual, anafanya siasa za enzi za zama za mawe.Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
SASA NDIYO ATAIPATA FRESH HACHOMOKI KIRAHISI MBONA ATAHENYASiasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
This time around dola isifanye makosa, impige na non bailable offence, asitoke kwa dhamanaNingependa akapimwe akili kwanza ili ijulikane kama ni mzima kichwani.Maana lugha na maneno yake anayotoaga ni machafu sana na ambayo hayawezi kutolewa na mtu mwenye utimamu
Namchukia sana yule jamaa kwa maneno na lugha zake za matusi
huenda wamemkuta na madawa ya kulevya kama vile cha Arusha n.k🐒Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Ameingia kwenye 18 mara ngapi? Wanakaa naye halafu watamuachia tu.Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Kuna umbwa amependd huu uharo ulioandika. Tupo hapa na tutaona kama hilo litafanikiwa.This time around dola isifanye makosa, impige na non bailable offence, asitoke kwa dhamana
Maarifa mazuri kila mmoja awe chama tawala. Maana hakuna chama au kitu chochote duniani kilidumu maisha,Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Ndio vyema akatuonyeshe kile kifaa cha kutafutia wahanga kwenye kifusi kariakoo!Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Ni discretion ya dola kuandaa charge sheet, halafu upelelezi utaendelea kwa miaka kadhaa huko mbeleKuna umbwa amependd huu uharo ulioandika. Tupo hapa na tutaona kama hilo litafanikiwa.
Tuone kama hilo litatokea. Tupo hapa JFNi discretion ya dola kuandaa charge sheet, halafu upelelezi utaendelea kwa miaka kadhaa huko mbele
Msaada gani wakati alishamuua kinadharia.Ila Kuna Siku atahitaji Msaada wao 🐼
Na nani?Naskia Mboye kapigwa sana