Mdude Nyagali: Polisi walikosea kuwaua walioteka watoto Mwanza

Mdude Nyagali: Polisi walikosea kuwaua walioteka watoto Mwanza

Kuwakamata watekaji wakiwa hai na kuwahoji, inasaidia zaidi kukomesha tatizo kuliko kuwapiga risasi.

Ndio anachomaanisha Mdude, hashabikii watekaji. Weledi wa polisi ni kumkamata mtuhumiwa akiwa hai, kumuua kabla ya kumkamata siyo faida.
 
Hakuna msaada wowote watakaoutoa. Watuhimiwa wa kutosha wapo magerezani na wengine wanaachiwa huru na bado matukio yale yale yanaendelea kutokea

Walikuwa na uthibitisho gani kuwa hao ni watekaji wakati hawakuwakamata na kujiridhisha?

Ipo siku utakutwa nyumbani na watoto wako umeshika panga, utapigwa risasi kwamba ni mtekaji.
 
Mkuu nawe ni wale wale. Watu wamekutwa na watoto waliotekwa, wametakiwa wajisalimishe wakagoma bado tu unakaza fuvu

Unaleta mifano ya watoto wangu,Kwani kuna mtu aliniripoti nimeiba mwanae?
Walikuwa na uthibitisho gani kuwa hao ni watekaji wakati hawakuwakamata na kujiridhisha?

Ipo siku utakutwa nyumbani na watoto wako umeshika panga, utapigwa risasi kwamba ni mtekaji.
 
Tukisema Chadema wana urafiki na majambazi yataanza maneno.

Maana huyu mwanachama wao mwandamizi anawatetea kina kaka jambazi.
 
Naye Alishiriki Kwenye Hiyo Operesheni Ili Atueleze Kwanini Hawakutakiwa Kuuliwa Hao Watekaji??
 
Kila kitu kinafaida na hasara. Hizi haki haki ndiyo zimefanya nchi kama South Africa ziingie kwenye uhalifu wa kutisha na kushindwa kuudhibiti.
 
Polisi wamefanya kazi yao vizuri hao watoto wangekatwa mapanga ingekuwa aibu kwa Polisi
 
@mdudenyagali

"Watekaji wawili walikuwa wanajihami kwa mapanga lakini askari polisi zaidi ya 20 walishindwa kuwadhibiti wahalifu hao wawili wenye mapanga na kulazimika kuwapiga risasi. Yani askari zaidi ya 20 wanashindwa kuwadhibiti wahalifu wawili wenye mapanga na kulazimika kuwaua kwa mbali kwa kuwapiga risasi? Ndio maana nasema hili jeshi letu la polisi
@tanpol
ni bovu limepoteza weledi na ufundi kama lilivyokuwa miaka ya nyuma. Kwa sasa jeshi letu la polisi linatumia nguvu nyingi akili kisoda. Ndio maana tunataka serikali mpya itakayolifanyia ukarabati jeshi hili. Hii ni aibu." Ameandika mdude kupitia ukurasa wake wa X
Image
Yeye Ashukuru polisi hawajamuua hadi leo, aache kushangaa wenzie kuuawa.
 
Ni kweli kabisa! Wangewapiga risasi za miguuni tu ingetosha!
 
Back
Top Bottom