Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kuwakamata watekaji wakiwa hai na kuwahoji, inasaidia zaidi kukomesha tatizo kuliko kuwapiga risasi.Watekaji
Kuwakamata watekaji wakiwa hai na kuwahoji, inasaidia zaidi kukomesha tatizo kuliko kuwapiga risasi.
Ndio anachomaanisha Mdude, hashabikii watekaji. Weledi wa polisi ni kumkamata mtuhumiwa akiwa hai, kumuua kabla ya kumkamata siyo faida.
Walikuwa na uthibitisho gani kuwa hao ni watekaji wakati hawakuwakamata na kujiridhisha?Hakuna msaada wowote watakaoutoa. Watuhimiwa wa kutosha wapo magerezani na wengine wanaachiwa huru na bado matukio yale yale yanaendelea kutokea
Walikuwa na uthibitisho gani kuwa hao ni watekaji wakati hawakuwakamata na kujiridhisha?
Ipo siku utakutwa nyumbani na watoto wako umeshika panga, utapigwa risasi kwamba ni mtekaji.
Yeye Ashukuru polisi hawajamuua hadi leo, aache kushangaa wenzie kuuawa.@mdudenyagali
"Watekaji wawili walikuwa wanajihami kwa mapanga lakini askari polisi zaidi ya 20 walishindwa kuwadhibiti wahalifu hao wawili wenye mapanga na kulazimika kuwapiga risasi. Yani askari zaidi ya 20 wanashindwa kuwadhibiti wahalifu wawili wenye mapanga na kulazimika kuwaua kwa mbali kwa kuwapiga risasi? Ndio maana nasema hili jeshi letu la polisi
@tanpol
ni bovu limepoteza weledi na ufundi kama lilivyokuwa miaka ya nyuma. Kwa sasa jeshi letu la polisi linatumia nguvu nyingi akili kisoda. Ndio maana tunataka serikali mpya itakayolifanyia ukarabati jeshi hili. Hii ni aibu." Ameandika mdude kupitia ukurasa wake wa X