KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
HakikaYatakwisha tu siku moja.
Muda ni mwalimu.
Ana haki ya kwenda popote ili mradi havunji sheriaMambo mengine ni upumbavu, huyo Mdude ana kitu gani cha maana cha kufanya huko nje ya nchi?
Una chuki naye?Mdude ni shujaa wenu mkamsaidie kuchuana na mamlaka.
Shida yenu ndio hiyo.kukwambia umkamsaidie komando wenu ndio umeona nina chuki na uyo mvuta bangi mwenye laana ya wazazi wake!Una chuki naye?
Ndio sioni cha kumzuia Mkuu. Kiufupi namaanisha sio mtu hatari kwa nchi kiasi cha kumzuia kusafiri nje.Ana haki ya kwenda popote ili mradi havunji sheria
Anatoroka kwenda wapi na huu ni msimu wa kilimo anatakiwa awe shambani na wanakijiji wenzake akizalisha mali.Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni?
Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti?
Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi yako? Au hujui wala kuheshimu haki za kikatiba za watu? Kosa gani analo tuhumiwa nalo?
Tuambie na toka wazi useme ni wananchi wangapi hiyo Mahakama yako ya mfukoni imewawekea Mazuio? Mwachieni Mdude Nyagali siyo Muhalifu.
Acha dharauMdudu Maisha yake ni ya kuunga unga nauli ya mbeya to dar hana, hiyo ya kwenda Kenya kainyea wapi?
Mdudu Maisha yake ni ya kuunga unga nauli ya mbeya to dar hana, hiyo ya kwenda Kenya kainyea wapi?
Tuwaulize hao waliomzuia,kwasababu nikama hawako serious na mambo ya msingi.wanaangaika na upuuzi tu.Mambo mengine ni upumbavu, huyo Mdude ana kitu gani cha maana cha kufanya huko nje ya nchi hadi wamzuie?
Tuwaulize hao waliomzuia,kwasababu nikama hawako serious na mambo ya msingi.wanaangaika na upuuzi tu.
Serikali inakichonga wenyewe kinyago ambacho baadaye kitakuja kuwatisha wao wenyewe.Mambo mengine ni upumbavu, huyo Mdude ana kitu gani cha maana cha kufanya huko nje ya nchi hadi wamzuie?