Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

Serikali inakichonga wenyewe kinyago ambacho baadaye kitakuja kuwatisha wao wenyewe.

Huyu Mdude ajiongeze kidogo tu akale maisha Canada.

Mlionaye karibu mpelekeeni huu ujumbe wangu bahati haiji mara mbili.
Mpe mbinu haphapa
 
Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni?

Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti?

Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi yako? Au hujui wala kuheshimu haki za kikatiba za watu? Kosa gani analo tuhumiwa nalo?

Tuambie na toka wazi useme ni wananchi wangapi hiyo Mahakama yako ya mfukoni imewawekea Mazuio? Mwachieni Mdude Nyagali siyo Muhalifu.

hata hivyo ataenda wap manyagali bana 🐒
 
Mpe mbinu haphapa
Nimpe mbinu gani wakati serikali tayari imeshamfanyia free promo?

Mwabukusi amsaidie kufile political asylum Canada faster Tu anapewa Viza bila kupepesa macho na hakuna wa kumzuia Airport yoyote anakuwa under UN protection.

Hivi mnaonaga Lisu anaguswa na mtu?
 
Ndio sioni cha kumzuia Mkuu. Kiufupi namaanisha sio mtu hatari kwa nchi kiasi cha kumzuia kusafiri nje.
Hawa madogo wanazingua kwa kigezo cha ukosoaji wa kisiasa mpaka wana anzaq watttack watu personal ili wakamatwe na wapate vibari vya kwenda kuishi ughaibuni kwa kigezo cha ukimbizi wa kisiasa wanatishiwa maisha yao so uhamiaji komaeni nao hakuna kutoka mtu tuba and humu humu tuone kama wataendelea kutoa lugha chafu
 
Ujinga wenu wa siasa mnapata faida wenyewe ,mkipata matatizo mnataka huruma ya wananchi.. Pambaneni na ujinga wenu hizo ndio isk za siasa.

Kila mtu akipost matatizo yake ya kazini ,mtasikiliza mangapi?
Kwani umeitwa kwenye hili bandiko? Punguza kiherehere na mipovu kwa vitu vusivyokuhusu...
 
Mambo mengine ni upumbavu, huyo Mdude ana kitu gani cha maana cha kufanya huko nje ya nchi hadi wamzuie?
Wewe una kipi cha maana cha kwenda kufanya Burudani kwa mfano??
 
Kwani umeitwa kwenye hili bandiko? Punguza kiherehere na mipovu kwa vitu vusivyokuhusu...
Mdude tulia na ujinga wako ,kwa hauna familia ya kuwaambia?...Ujinga wako peleka kweny familia yako.!
 
Hii hapa ndio Taarifa yake

Screenshot_2024-01-30-01-07-25-1.png

======
Mdude alitoa taarifa ya kuzuiliwa na uhamiaji katika Mpaka wa Namanga akidai kaambiwa ni maelekezo kutoka juu.

Tangu saa saa 08:20 asubuhi nimezuiliwa na UhamiajiTz katika mpaka wa Namanga katika safari yangu ya kwenda Kenya kwa kile wanachodai kuwa mimi nimezuiliwa kutoka nje ya nchi na serikali ya Tanzania.Hata nilipohoji sababu za kuzuiliwa wanadai wao wamepata tu maelekezo kutoka juu.

Hata hivyo baadaye alitoa taarifa ya kuachiliwa na kuruhusiwa kuvuka.

Nimeachiwa na kuruhusiwa kuvuka mpaka kwenda Kenya muda huu sasa naendelea na safari yangu. Nawashukuru watanzania wote kwa kupaza sauti.
 
Kama kuna shida akimbilie ubalozini halafu aombe ukimbizi wa kisiasa kwenye taifa la kibeberu
 
Kumzuia mtu kutoka nje ya Tanzania ni kumpaisha sana profile yake.

Kama hizi habari ni za hakika, Mdude kashaweka kwenye historia yake kwamba serikali inamuogopa mpaka imemzuia asitoke Tanzania.

Yani hata huyo Tundu Lissu hajafanyiwa hivyo!
 
Huyu takataka anajikutaga eti wa muhimu, ni sisimizi tu. Hata shule hana, ni bangi tu ndio zinampa kujiamini
Hujawahi zuiliwa kuvuka hata level ya kata mwenzzio kazuiliwa kwenye international border huwezi fanana nae, na hakuna kiongoz wa tz asiyemjua nyagali Mdude lakini wewe Sina hakika kama hata m/kiti wa kitongoji chako anakujua, hapo ulipo nyagali unachoweza lingana nae ni kupumua na kukata gogo vingine vyote amekuacha mbali thousands of kms!
 
Kumzuia mtu kutoka nje ya Tanzania ni kumpaisha sana profile yake.

Kama hizi habari ni za hakika, Mdude kashaweka kwenye historia yake kwamba serikali inamuogopa mpaka imemzuia asitoke Tanzania.

Yani hata huyo Tundu Lissu hajafanyiwa hivyo!
Na ndiyo habari kuu katika baadhi ya magazeti.

20240129_233933.jpg
 
Hujawahi zuiliwa kuvuka hata level ya kata mwenzzio kazuiliwa kwenye international border huwezi fanana nae, na hakuna kiongoz wa tz asiyemjua nyagali Mdude lakini wewe Sina hakika kama hata m/kiti wa kitongoji chako anakujua, hapo ulipo nyagali unachoweza lingana nae ni kupumua na kukata gogo vingine vyote amekuacha mbali thousands of kms!
Absolutely!

Watu dizaini ya chiembe ndio "takataka" zenyewe halisi lakini hajijui kuwa ni takataka!!
 
Kumzuia mtu kutoka nje ya Tanzania ni kumpaisha sana profile yake.

Kama hizi habari ni za hakika, Mdude kashaweka kwenye historia yake kwamba serikali inamuogopa mpaka imemzuia asitoke Tanzania.

Yani hata huyo Tundu Lissu hajafanyiwa hivyo!
Kabisa wamemtengenezea cv kali sana

Ova
 
Back
Top Bottom