dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mpe mbinu haphapaSerikali inakichonga wenyewe kinyago ambacho baadaye kitakuja kuwatisha wao wenyewe.
Huyu Mdude ajiongeze kidogo tu akale maisha Canada.
Mlionaye karibu mpelekeeni huu ujumbe wangu bahati haiji mara mbili.
hata hivyo ataenda wap manyagali bana 🐒Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni?
Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti?
Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi yako? Au hujui wala kuheshimu haki za kikatiba za watu? Kosa gani analo tuhumiwa nalo?
Tuambie na toka wazi useme ni wananchi wangapi hiyo Mahakama yako ya mfukoni imewawekea Mazuio? Mwachieni Mdude Nyagali siyo Muhalifu.
Nimpe mbinu gani wakati serikali tayari imeshamfanyia free promo?Mpe mbinu haphapa
Hawa madogo wanazingua kwa kigezo cha ukosoaji wa kisiasa mpaka wana anzaq watttack watu personal ili wakamatwe na wapate vibari vya kwenda kuishi ughaibuni kwa kigezo cha ukimbizi wa kisiasa wanatishiwa maisha yao so uhamiaji komaeni nao hakuna kutoka mtu tuba and humu humu tuone kama wataendelea kutoa lugha chafuNdio sioni cha kumzuia Mkuu. Kiufupi namaanisha sio mtu hatari kwa nchi kiasi cha kumzuia kusafiri nje.
Kwani umeitwa kwenye hili bandiko? Punguza kiherehere na mipovu kwa vitu vusivyokuhusu...Ujinga wenu wa siasa mnapata faida wenyewe ,mkipata matatizo mnataka huruma ya wananchi.. Pambaneni na ujinga wenu hizo ndio isk za siasa.
Kila mtu akipost matatizo yake ya kazini ,mtasikiliza mangapi?
Wewe una kipi cha maana cha kwenda kufanya Burudani kwa mfano??Mambo mengine ni upumbavu, huyo Mdude ana kitu gani cha maana cha kufanya huko nje ya nchi hadi wamzuie?
Mdude tulia na ujinga wako ,kwa hauna familia ya kuwaambia?...Ujinga wako peleka kweny familia yako.!Kwani umeitwa kwenye hili bandiko? Punguza kiherehere na mipovu kwa vitu vusivyokuhusu...
Mdude yuko tayari kwa loloteKama kuna shida akimbilie ubalozini halafu aombe ukimbizi wa kisiasa kwenye taifa la kibeberu
Hujawahi zuiliwa kuvuka hata level ya kata mwenzzio kazuiliwa kwenye international border huwezi fanana nae, na hakuna kiongoz wa tz asiyemjua nyagali Mdude lakini wewe Sina hakika kama hata m/kiti wa kitongoji chako anakujua, hapo ulipo nyagali unachoweza lingana nae ni kupumua na kukata gogo vingine vyote amekuacha mbali thousands of kms!Huyu takataka anajikutaga eti wa muhimu, ni sisimizi tu. Hata shule hana, ni bangi tu ndio zinampa kujiamini
Na ndiyo habari kuu katika baadhi ya magazeti.Kumzuia mtu kutoka nje ya Tanzania ni kumpaisha sana profile yake.
Kama hizi habari ni za hakika, Mdude kashaweka kwenye historia yake kwamba serikali inamuogopa mpaka imemzuia asitoke Tanzania.
Yani hata huyo Tundu Lissu hajafanyiwa hivyo!
Absolutely!Hujawahi zuiliwa kuvuka hata level ya kata mwenzzio kazuiliwa kwenye international border huwezi fanana nae, na hakuna kiongoz wa tz asiyemjua nyagali Mdude lakini wewe Sina hakika kama hata m/kiti wa kitongoji chako anakujua, hapo ulipo nyagali unachoweza lingana nae ni kupumua na kukata gogo vingine vyote amekuacha mbali thousands of kms!
Kabisa wamemtengenezea cv kali sanaKumzuia mtu kutoka nje ya Tanzania ni kumpaisha sana profile yake.
Kama hizi habari ni za hakika, Mdude kashaweka kwenye historia yake kwamba serikali inamuogopa mpaka imemzuia asitoke Tanzania.
Yani hata huyo Tundu Lissu hajafanyiwa hivyo!
Usilie sasa !Huyu takataka anajikutaga eti wa muhimu, ni sisimizi tu. Hata shule hana, ni bangi tu ndio zinampa kujiamini