kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi.
Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana haijalishi ni ni nani anayemlenga.
Hivi hakuna idara ya kusimamia maadili huko CHADEMA. Je tuseme tabia ya Mdude na siasa zake zinakubalika huko CHADEMA? Kama la na ndivyo ninavyofikiri mmefanya nini kurekebisha tabia zisizokubalika za huyo bwana mdogo?
Msipojirekebisha sahau ku achieve political objectives zenu.
Conflict of interest
Mimi ni mpenda haki, so siipendI CCM na sio mwanachama chama chochote cha upinzani . Sisi ndiyo wale tunaoibuka mitandaoni haki inapoporwa .