Mdude Nyangali ni mpinzani anayechafua taswira ya upinzani

Mdude Nyangali ni mpinzani anayechafua taswira ya upinzani

Ilimwuumizaje. Serikali ya JPM Ni pamoja na mama. Hivi mdude alikuwa mwema. Akaonewa, akatoka gerezani , ndo kabadilika kaanza matusi? Acha kutetea upumbavu. Msaidieni awe binadamu.

..Mdude alionewa.

..alisingiziwa kesi ya madawa ya kulevya akaachiwa na mahakama.

..serikali ilipaswa kumlipa Mdude fidia baada ya kwani walimuweka ndani kwa muda mrefu lakini aliwashinda mahakamani.
 
Kila anayeenda gerezani akapata mateso Basi anaandika kitabu. Yaani anatumia ujinga wa watu kutoka Kama kawaida ya mwanasiasa.kwani yeye ndiye wa kwanza kuteswa. Angekuwa ndiye Mandela angelazimisha watu wanunue kitabu chake Tena kwa risasi
 
Mbona hamleti hizo tweets zake,au mnamhukumu kwa mambo ya kipindi cha nyuma?
 
Watu wa aina ya Mdude nyangali wa chadema wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi.

Siasa za mdude nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa chadema ni za kishari, mihemko na utukana haijalishi ni ninani anayemlenga.

Hivi hakuna idara ya kusimamia maadili huko chadema. Je tuseme tabia ya mdude na siasa zake zinakubalika huko chadema? Kama la na ndivyo ninavyofikiri mmefanya nini kurekebisha tabia zisizokubalika za huyo bwana mdogo?

Msijpojirekebisha sahau ku achieve political objectives zenu.

Conflict of interest
Mimi ni mpenda haki, so siipendI CCM na sio mwanachama chama chochote cha upinzani . Sisi ndiyo wale tunaoibuka mitandaoni haki inaporwa .
Mjibuni KWa hoja basi
 
Haya mambo unayoyafanya ni ya zama za Karne ya 12.Wakati akina Mkapa wanasema wapinzani ni wapumbavu hii ilijenga mtizamo chanya?

Wakati Nape anasema Lowassa atafia Ikulu hiyo ni kujenga au kubomoa?
Anyway sisi chadema tumeridhika na anachofanya Mdude basi amua wewe mwenyewe moyoni mwako kushabikia dhulma au haki.
 
Kila anayeenda gerezani akapata mateso Basi anaandika kitabu. Yaani anatumia ujinga wa watu kutoka Kama kawaida ya mwanasiasa.kwani yeye ndiye wa kwanza kuteswa. Angekuwa ndiye Mandela angelazimisha watu wanunue kitabu chake Tena kwa risasi
Pole Kwa kunyimwa akili na Mungu,inaumiza sana kuwa na Watanzania wapumbavu kama wewe
 
Pole Kwa kunyimwa akili na Mungu,inaumiza sana kuwa na Watanzania wapumbavu kama wewe
Ahsante mkuu. Hebu ongea naye Basi anipe alichokupa ama hauna namba yake ya simu. Nishakuambia jamaa anapigia mno promo kitabu chake utadhani ndiye wa kwanza kuteswa tokea Tanzania kuwepo sema ameamua kutumia ujinga wa watanzania kuwa Ni wapenda umbeya,usengenyaji Basi akanitumia Kama huo mtaji.
 
Pole Kwa kunyimwa akili na Mungu,inaumiza sana kuwa na Watanzania wapumbavu kama wewe
Kulingana na huyu mwamba yaani uko sawa mno yaani mno na imeumbwa na akili mno kiasi kwamba mpaka Taifa linakushangaa unapotezaje muda humu mtandaoni wanashindia maabara kushindana na tafiti na gunduzi mbalimbali Kama kuleta crane ya kuinua 26ton

William Shakespeare wrote, “There is nothing either good or bad, but thinking makes it
so.” Central to this concept is understanding that, no matter what is said or done, nobody can
make you feel a certain way. You may not like what someone says; you consider it to be an
insult or a putdown. But no one, and I mean no one, can make you feel anything. What one person perceives as a failure another sees as valuable feedback and an opportunity to learn and improve.
 
Watu wa aina ya Mdude nyangali wa chadema wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi.

Siasa za mdude nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa chadema ni za kishari, mihemko na utukana haijalishi ni ninani anayemlenga.

Hivi hakuna idara ya kusimamia maadili huko chadema. Je tuseme tabia ya mdude na siasa zake zinakubalika huko chadema? Kama la na ndivyo ninavyofikiri mmefanya nini kurekebisha tabia zisizokubalika za huyo bwana mdogo?

Msijpojirekebisha sahau ku achieve political objectives zenu.

Conflict of interest
Mimi ni mpenda haki, so siipendI CCM na sio mwanachama chama chochote cha upinzani . Sisi ndiyo wale tunaoibuka mitandaoni haki inaporwa .

Hao CCM wanaopora uchaguzi na kufanya uhayawani wote unaona wako sawa? Kwanini utake ustaarabu toka kwa Mdude huku ukiwafumbia macho watu wanaoingia madarakani kwa njia chafu kuliko matusi ya Mdude?
 
Tangu wamle, amekuwa na hamu mara kwa mara

Mdude hana ufala wa kuliwa, au unawaona hao jamaa ni wajanja sana wakati wanategemea kufanya uhuni wakiwa wengi? Waambie wamtokee Mdude wakiwa mmoja mmoja kisha uje utoe mrejesho.
 
Hamumpendi kwasabab haogopi mtu anatapika nyongo live, jibuni hoja zake... ni jasiri huyo jamaa kama unabisha kamfukue mwendazake umuulize... Msilazimishe kilamtu atoe hoja kwa njia za kilokole...
 
Ilimwuumizaje. Serikali ya JPM Ni pamoja na mama. Hivi mdude alikuwa mwema. Akaonewa, akatoka gerezani , ndo kabadilika kaanza matusi? Acha kutetea upumbavu. Msaidieni awe binadamu.

Ila wanaoiba kura na kufanya mauji na kuacha wapinzani na vilema vya maisha wako sawa?!
 
Back
Top Bottom